Watumwa wa ngono, utekaji biashara tishio kwa watoto umri mdogo kuanzia miaka 18

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Kila baada ya saa kwenye habari USA mtoto wa kike katekwa na inaweza kuchukua miaka mingi kuja kumpata wakati teyari ashakuwa kahaba aliyetengenezwa.

Sio kwa Marekani tu hata kwa mataifa yote wanafanya biashara hii. Matajiri na wauza mihadarati ni wateja wakubwa sex slave, wanawekwa kama show room unachagua; tena akiwa mdogo ndio bei kubwa.

Nchi za wenzetu mtoto wa kike anarindwa sana na familia kuliko chochote ili kumuepusha na majanga. Wafanyabiashara hizi wanamajumba ya kuwaweka ambayo nikama magereza. Biashara hii nchi kama urusi imepamba moto sana na mwenzake USA.

Kwa sasa Tanzania haitumiki sana utekaji, bali kurubuni mabinti kwa kuwadanganya wataenda kufanya kazi na kupata vipato kisha uwatafutia passport na kuwauza huko. Sana sana waathirika wakubwa kuanzia umri 18.

Wengi wanaishia kuwa bidhaa za kukizi haja na video za ngono na uingiza pesa nyingi.

Tuanze kufatilia hapa kwetu watoto kuwalinda kesho yakiingia utamlaumu nani

IMG_0471.jpg
 
Back
Top Bottom