watumishi na viongozi wa wizara ya viwanda na biashara wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ukumbi wa bunge baada ya bajeti yao kupita.View attachment 159780
muongo mkubwa, angalia hiyo picha katibu mkuu na naibu waziri walishaondolewa. Bajeti ya wizara hiyo ilipitishwa juzi na hakuna aliyevaa sare
Hapo wa +ke kitamba 300000,ufundi 200000 mafuta yakumfuatilia fundi 100000 jumla 600000 tupo 1,2,3,4............ +10%Sitaki kujua hizo nguo ziligharimu Tsh ngapi, cause naijua vizuri nchi yangu!
Kwa hiyo kila mwaka wanashonewa sare za kwenda kusherehekea kupitishwa kwa bajeti yao Dodoma!!??
Hapo wa +ke kitamba 300000,ufundi 200000 mafuta yakumfuatilia fundi 100000 jumla 600000 tupo 1,2,3,4............ +10%
+me kitambaa 350000,ufundi 250000 vocha ya kumpigia fundi 150000 jumla 750000 hapo tupo ........wengine wamebaki ndani.hahahaha hii ndio Tanzania nchi ya asali na maziwa wewe tu ndio unashangaa.
Watumishi na Viongozi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ukumbi wa Bunge baada ya Bajeti yao kupita.View attachment 159780
muongo mkubwa, angalia hiyo picha katibu mkuu na naibu waziri walishaondolewa. Bajeti ya wizara hiyo ilipitishwa juzi na hakuna aliyevaa sare
hicho kitambaa cha bei hiyo kimetokea mbinguni? Na huyo fundi wa bei hiyo labda cherehani yake inatumia mafuta ya ndege?
Watu mna chuku sana!!
only in tz.Baada ya Hapo ni sherehe..............only in Tz
leo nimemsikia kwa masikio yangu mh idd azan akisema kupulizia basi moja dawa ya dengue ni 25,000/=
dah, kumbe ni 65,000? lahaula, Mani nimeianzishia mada kule jukwaa la siasa, ngoja nikapesti na hii