Watumishi wanaohudumia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB) ni tatizo kubwa

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
880
618
Hakuna kitu kinauma kama umelipa deni lako lote la mkopo elimu ya juu na bado wanaendelea kukata kwenye mshahara.

Barua kwenda utumishi Dodoma tayari ilitumwa toka Dec. 2019. Hadi leo hawamtoi mtu kwenye orodha ya makato ya mshahara.

Wahusika wakuu na wakurugenzi wa HESLB, pangueni watumishi wenu kuanzia ngazi zote. Hovyo kabisa.

Barua za waliomaliza madeni ya Board zimeskaniwa na kutumwa kwenye mfumo lakini bado wanakata kwa mfanyakazi.

Acheni ulimbukeni. Hebu fanyieni kazi barua za watu buana!
 
Niliwahi kwenda kuomba loan statement, kukawa na shida ya mtandao , wakashauri niache email mpaka leo 1 yr back hawajanitumia! Na pesa niliyotaka kulipa nilishafanyia kazi nyingine
 
Niliwahi kwenda kuomba loan statement, kukawa na shida ya mtandao , wakashauri niache email mpaka leo 1 yr back hawajanitumia! Na pesa niliyotaka kulipa nilishafanyia kazi nyingine
 
Kiongozi wanaotoa Makato ya bodi ya mikopo kwenye mshahara ni utumishi makao makuu sio bodi ya mikopo. Utumishi wilaya unayofanya kazi ndio wanao scan na kutuma taarifa zako utumishi makao makuu ili waweze kuyaondoa Makato ya bodi ya mikopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom