pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 880
- 618
Hakuna kitu kinauma kama umelipa deni lako lote la mkopo elimu ya juu na bado wanaendelea kukata kwenye mshahara.
Barua kwenda utumishi Dodoma tayari ilitumwa toka Dec. 2019. Hadi leo hawamtoi mtu kwenye orodha ya makato ya mshahara.
Wahusika wakuu na wakurugenzi wa HESLB, pangueni watumishi wenu kuanzia ngazi zote. Hovyo kabisa.
Barua za waliomaliza madeni ya Board zimeskaniwa na kutumwa kwenye mfumo lakini bado wanakata kwa mfanyakazi.
Acheni ulimbukeni. Hebu fanyieni kazi barua za watu buana!