Watumishi wamekuwa kibarua wa wanasiasa

1taifa

Member
May 31, 2013
75
95
Nafahamu kabisa kuwa chama kinachoshinda uchaguzi ndiyo kinafanya au kinaunda serikali jwa maana ya WAZIRI MKUU, AG, RC, DC, KATIBU MKUU KIONGOZI nk.

Kwa siku nyingi sasa almost a year seikali hii ya CCM imeshindwa kutoa stahiki kwa watumishi wake ikiwemo:
√hakuna kupanda madaraja
√hakuna nyongeza ya mshahara wa mwaka
√kutolipa madai mbalimbali
√kutopandisha mishahara anghalau kuwepo na SALARY EQUITY
√Kutotoa uhamisho kwa wakati
√kushindwa kulipa gharama za uhamisho
√kushindwa kuajiri wasomi ktk kada tofautitofauti
√kuondoa mfumo wa NACTE TCU inaumuza wasio na kipato kikubwa
√Kutoa posho kwa upendeleo mf H/M anapewa posho wakati mwl mwingine ktk kituo hicho hapewi
√PAYE ni kubwa mno
√Makato ya 15% kwa wanufaika wa HESLB ni msalaba


Kwa haya yote serikali hii ya CCM haina nia njema na umma kabisa, hivyo wanaforum tufanyeje kuondoa ukiritimba wa kisiasa kupitia serikali hii??

Karibuni.
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,239
2,000
Naahamu kabisa kuwa chama kinachoshinda uchaguzi ndiyo kinafanya au kinaunda serikali jwa maana ya WAZIRI MKUU, AG, RC, DC, KATIBU MKUU KIONGOZI nk.

Kwa siku nyingi sasa almost a year seikali hii ya CCM imeshindwa kutoa stahiki kwa watumishi wake ikiwemo:
√kupanda madaraja
√nyongeza ya mshahara wa mwaka
√kulipa madai mbalimbali
√kupandisha mishahara anghalau kuwepo na SALARY EQUITY
√Kutoa uhamisho kwa wakati
√kushindwa kulipa gharama za uhamisho
√kushindwa kuajiri wasomi ktk kada tofautitofauti
√kuondoa mfumo wa NACTE TCU inaumuza wasio na kipato kikubwa
√Kutia posho kwa uoendeleo mf H/M anapewa posho wakati mwl mwingine ktk kituo hicho haoewi
√PAYE ni kubwa mno
√Makato ya 15% kwa wanufaika wa HESLB ni msalaba


Kwa haya yote serikali hii ya CCM haina nia njema na umma kabisa, hivyo wanaforum tufanyeje kuondoa ukiritimba wa kisiasa kupitia serikali hii??

Karibuni.
Tucta hovyoooooooooooooo
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
1,000
Wanasubr kidogo ili wakja kufanya muwapongeze wakati ni haki za watumishi, tatzo viongoz wanataka kuendesha umma kwa matukio, mm binafsi sifurahishwi huu upuuz sema ukzdsha chuki sana unaweza tukana hata matusi makubwa ukakosa ustarabu kama ilivyokosa serikali kwa watumishi!
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
1,000
Tucta hovyoooooooooooooo
Hakna kitu hao kaz yao nao imekuwa siasa! Wanachoambiwa na wanasiasa ni hichohcho wanakikubali na hawatoi matatzo ya watumishi, uhamisho hakna wala mishahara na madaraja kupanda, kisingizio imekua uhakiki kitu ambacho imekuwa kero sasa! Kitu kisichoisha huku kimefunga kila kitu! Huu ni use.......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom