Watumishi wa Umma wasiongezewe mishahara, Mfumuko wa bei haujabadilika

Nyongeza yoyote ya mishahara iende sambamba na maboresho ya pension vinginevyo wastaafu watazidi kuumia. Kutopanda kwa mishahara miaka hii 5 kumewasaidia sana wastaafu wetu. I stand to be guided!!
 
Mleta hoja haiyumkini wewe ni mbunge wa ccm na huenda ulipita bila kupingwa!
Kama kweli una nia thabiti isiyo na upande Wala itikadi ni kwanini hujaishauri serikali iwapunguzie wabunge mishahara na kuondoa sitting allowance?
Au wao umeshindwa kuwafikia kwa kuwa wewe ni mmojawao?
Yaani upo radhi kabisa mwalimu aendelee kulipwa mshahara alioajiriwa nao miaka Saba iliyopita huku mafuta ya taa, sukari, nauli, unga, mafuta ya kupikia na dawa zikipanda Bei kila wakati?
Hata Kama unasaka uteuzi hii sio njia sahihi tafuta nyingine! Na Kama unawaonea wivu waajiriwa ni sawa, Ila utazidi kujiumiza nafsi kwani mwenye kupewa kapewa tu!
Unasahau kuwa Hawa wafanyakazi wa umma ndio wanaosababisha mzunguko wa fedha kwa watu maskini Kama wewe ukufikie ili nawe uweze kuuza mkaa wako!
 
Mbona mishahara ilishaongezwa tokea budget iliposomwa, au hamkuona mabadiliko kwenye PAYE?
 
Wanabodi ,Mfumuko wa bei au wengine wanaita Inflation haujaathiri bei za bidhaa tangu mwaka 2014 .Kwa kuwa mfumuko wa bei haujabadilika na bei za vitu hazijabadilika ndivyo hivyo uwezo wa watu kuuza au kununua haujabadiliaka, yaani "Purchasing Power"

Ongezeko la mishahara lazima liendane na uzalishaji mali iwe huduma au bidhaa pamoja na mfumuko wa bei.

Soma uzi huu wa 2018:
Bei za bidhaa hasa za vyakula zinazogusa watanzania wengi ni bei nafuu na hazijabadilika tangu mwaka 2014. Suala la kuwa na bei ambazo haziyumbi ni kutokana na utendaji bora wa Rais John Pombe Magufuli.

Vitu visivyokuwa na umuhimu kwa watanzania yaani luxury hayo ni mambo binafsi ya mtu hayahusiani na Serikali, Vitu kama nguo,magari au nyumba ni mambo binafsi hayawagusi maelfu ya Watanzania.

Ni muda muafaka Serikali kuangalia Sekta ya Umma na jinsi ya kupunguza matumizi kwenye Sekta hii hasa mishahara kuelekea 2025

Pesa zote zinazokusanywa kila mwezi karibu nusu au bilioni 500 zinatumika kulipa mishahara hawa watumishi wa uma na Serikali inabaki na pesa kidogo sana kwa ajili ya maendeleo.

Watumishi wazalendo na wenye uchungu na nchi hii wapo tayari kupunguziwa mishahara yao kwa kuundwa kwa scale mpya za mishahara ili ziandane na dira na ilani ya chama ya 2020-2025

Hakuna haja ya serikali kuumiza kichwa kwa watanzania wachache ambao wameajiriwa na serikali wasiofika hata idadi ya watu laki tano kwa kuwaongeza mishahara wakati mfumuko wa bei haujabadilika tangu mwaka 2014

Ni matarajio ya wengi Rais Magufuli atalisimamia hili la mfumuko wa bei hivyo hakutakuwa na ongezeko la mishahara kuelekea 2025. Mfumuko wa bei ukibadilika kidogo tena kidogo kwa mbali naweza shawishi serikali iongeze mishahara

Kwa hali ya sasa na ukuaji wa uchumi wa kati hakuna haja ya kuongeza mishahara kwa watumishi wa uma

Aidha,Namuunga mkono Maalim Seif na ACT Wazalendo kwa uamuzi wao wa kushiriki kulijenga Taifa imara la zanzibar

Mwisho, CCM Tutaendelea kushinda kwa kishindo zaidi kwa kutumia mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi kulingana na mahitaji ya watanzania kwa wakati muafaka.
Kwa hiyo uliona wanafaidi saana,au kwa kuwa kundi lako ni tofauti na wear.
 
Hizi ndiyo athari za kutumia kijambio kufikiri
 
Hatuhitaji mishahara kupanda kwakuwa utendaji umeshuka.toka JIWE aingie 2015 utumishi tumekuwa na utendaji wa hovyo ndio maana nchi imeingia kwenye madeni makubwa yasiyolipika kutokana na ushauri unaoitwa wa watendaji.

Mtu kama kigwangala unaweza muongezea mshahara, Kabudi, Dotto james analipwa milioni 15 kwa mwezi, umuongezee nini wakati hela za control number anajua yeye na mpwa wake walipokuwa wanazipeleka?

Fanyeni kazi, tena ilibidi kupunguziwa mshahara.
 
Back
Top Bottom