Watumishi wa Umma wasiongezewe mishahara, Mfumuko wa bei haujabadilika

Wewe ni mtumishi wa uma?

Mbona unatoa povu jingi sana

Povu jingi halifanya nguo ionekane safi

Chapa kazi kama umechoka acha kuna maelfu ya vijana mtaani
Kosa ni kutokuwa na elimu, ungekuwa umemaliza hata la nne ungelifahamu namna circulation of money inavyofanyika.
 
Mbona malupulupu ya wabunge,mawazari, wakuu mikoa na wilaya , makatibu,na wakurugenzi yanayo ambatana na mishahara minono na na v8 inayobugia mafuta Kama ndege hujawai na utaki kuyazungumzia.

Watumishi wamekua watumishi ,why msipitishe utaratibu kwamba mtumishi anaetaka kustahafu KWA hiari KWA Sasa iwe hivyo na apatiwe mafao yake mkaajili wengine na atakae ona kuendelea na ajira yake iwe basi.

Mmewakomaza Sana watumishi, KWA Sasa wengi hawana Cha kupoteza KWA tahalifa yako,ile ya kutetemekea ajira ya serikali na kuruhusu manyanyaso yaliokua yanafanywa na baadhi ya viongozi haipo tena ,hivyo hata swala la kutaka kuendelea kuchezea stahiki zao halitakubalika, mtaachiwa ofisin zenu na kazi zenu mkafanye wenyewe.
 
Nitangulie kusema tu KMMMKO!!!

Natumai wewe ni staff katika shamba la TPC ama Kilombero shuga! Pia unamiliki shea za kutosha pale Simba Cement, Twiga na Dangote.
Nakuunga Mkono Mkuu,huyu mtoa uzi ni KMMMKE mwili mzima

Itakuwa ametumwa aje kupima upepo bwegenazi huyu
 
Wanabodi ,Mfumuko wa bei au wengine wanaita Inflation haujaathiri bei za bidhaa tangu mwaka 2014 .Kwa kuwa mfumuko wa bei haujabadilika na bei za vitu hazijabadilika ndivyo hivyo uwezo wa watu kuuza au kununua haujabadiliaka, yaani "Purchasing Power"

Ongezeko la mishahara lazima liendane na uzalishaji mali iwe huduma au bidhaa pamoja na mfumuko wa bei.

Soma uzi huu wa 2018:
Bei za bidhaa hasa za vyakula zinazogusa watanzania wengi ni bei nafuu na hazijabadilika tangu mwaka 2014. Suala la kuwa na bei ambazo haziyumbi ni kutokana na utendaji bora wa Rais John Pombe Magufuli.

Vitu visivyokuwa na umuhimu kwa watanzania yaani luxury hayo ni mambo binafsi ya mtu hayahusiani na serikali ,Vitu kama nguo,magari au nyumba ni mambo binafsi hayawagusi maelfu ya Watanzania.

Ni muda muafaka serikali kuangalia sekta ya Umma na jinsi ya kupunguza matumizi kwenye sekta hii hasa mishahara kuelekea 2025

Pesa zote zinazokusanywa kila mwezi karibu nusu au bilioni 500 zinatumika kulipa mishahara hawa watumishi wa uma na Serikali inabaki na pesa kidogo sana kwa ajili ya maendeleo.

Watumishi wazalendo na wenye uchungu na nchi hii wapo tayari kupunguziwa mishahara yao kwa kuundwa kwa scale mpya za mishahara ili ziandane na dira na ilani ya chama ya 2020-2025

Hakuna haja ya serikali kuumiza kichwa kwa watanzania wachache ambao wameajiriwa na serikali wasiofika hata idadi ya watu laki tano kwa kuwaongeza mishahara wakati mfumuko wa bei haujabadilika tangu mwaka 2014

Ni matarajio ya wengi Rais Magufuli atalisimamia hili la mfumuko wa bei hivyo hakutakuwa na ongezeko la mishahara kuelekea 2025. Mfumuko wa bei ukibadilika kidogo tena kidogo kwa mbali naweza shawishi serikali iongeze mishahara

Kwa hali ya sasa na ukuaji wa uchumi wa kati hakuna haja ya kuongeza mishahara kwa watumishi wa uma

Aidha,Namuunga mkono Maalim Seif na ACT Wazalendo kwa uamuzi wao wa kushiriki kulijenga Taifa imara la zanzibar

Mwisho, CCM Tutaendelea kushinda kwa kishindo zaidi kwa kutumia mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi kulingana na mahitaji ya watanzania kwa wakati muafaka.
waongezewe mshahara wa nini? hakuna mtu ya aina wowote kuongezwa mshahara, serikali ina mambo mengi ya maendeleo ya kutekeleza.
 
Kwa tahalifa yako bila watumishi unaowakebehi hapa hakuna maendeleo,Hawa ndo watekelezaji ili maendeleo yapatike,Kama unadhani maendeleo yanakuja tu bila watekelezaji fukuzeni watumishi wote tuone hayo maendeleo yatakuja vipi,
Hamuwezi kua na maendeleo Kama hamlipi wafanyakazi vizuri, hata kiwanda ili kuzalisha zaidi, lazima kujali wazalishaji haikwepeki kwamba uwe na input kidogo utegemee output kubwa, that's ulipenda TRA watumishi angalau hulipwa vizuri, lengo ni kuwapa molali ya kufanya kazi Kwa uadilifu kukusanya mapato, tahasis au mashirika binafsi ukifanya kazi mabonus yapo ili kuwatia molali ya kufanya vizuri zaidi
Sasa leo unamgusaje na kumkebehi mtumishi, hakuna mtumishi hakuna maendeleo huo ndo ukweli,
 
Wanabodi ,Mfumuko wa bei au wengine wanaita Inflation haujaathiri bei za bidhaa tangu mwaka 2014 .Kwa kuwa mfumuko wa bei haujabadilika na bei za vitu hazijabadilika ndivyo hivyo uwezo wa watu kuuza au kununua haujabadiliaka, yaani "Purchasing Power"

Ongezeko la mishahara lazima liendane na uzalishaji mali iwe huduma au bidhaa pamoja na mfumuko wa bei.

Soma uzi huu wa 2018:
Bei za bidhaa hasa za vyakula zinazogusa watanzania wengi ni bei nafuu na hazijabadilika tangu mwaka 2014. Suala la kuwa na bei ambazo haziyumbi ni kutokana na utendaji bora wa Rais John Pombe Magufuli.

Vitu visivyokuwa na umuhimu kwa watanzania yaani luxury hayo ni mambo binafsi ya mtu hayahusiani na serikali ,Vitu kama nguo,magari au nyumba ni mambo binafsi hayawagusi maelfu ya Watanzania.

Ni muda muafaka serikali kuangalia sekta ya Umma na jinsi ya kupunguza matumizi kwenye sekta hii hasa mishahara kuelekea 2025

Pesa zote zinazokusanywa kila mwezi karibu nusu au bilioni 500 zinatumika kulipa mishahara hawa watumishi wa uma na Serikali inabaki na pesa kidogo sana kwa ajili ya maendeleo.

Watumishi wazalendo na wenye uchungu na nchi hii wapo tayari kupunguziwa mishahara yao kwa kuundwa kwa scale mpya za mishahara ili ziandane na dira na ilani ya chama ya 2020-2025

Hakuna haja ya serikali kuumiza kichwa kwa watanzania wachache ambao wameajiriwa na serikali wasiofika hata idadi ya watu laki tano kwa kuwaongeza mishahara wakati mfumuko wa bei haujabadilika tangu mwaka 2014

Ni matarajio ya wengi Rais Magufuli atalisimamia hili la mfumuko wa bei hivyo hakutakuwa na ongezeko la mishahara kuelekea 2025. Mfumuko wa bei ukibadilika kidogo tena kidogo kwa mbali naweza shawishi serikali iongeze mishahara

Kwa hali ya sasa na ukuaji wa uchumi wa kati hakuna haja ya kuongeza mishahara kwa watumishi wa uma

Aidha,Namuunga mkono Maalim Seif na ACT Wazalendo kwa uamuzi wao wa kushiriki kulijenga Taifa imara la zanzibar

Mwisho, CCM Tutaendelea kushinda kwa kishindo zaidi kwa kutumia mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi kulingana na mahitaji ya watanzania kwa wakati muafaka.

Sio kwamba serikali haitaki kuongeza mishahara, bali haina pesa ya kufanya hivyo. Hii porojo ndefu ni kufunika ukweli huo.
 
Serikali gani haina pesa

Unaweza kuithibitishia mahakama
 
Serikali gani haina pesa

Unaweza kuithibitishia mahakama

Kama kuna mahakama naweza kudhibitisha, ila sio kwenye hayo majengo ya mahakama yenye wahudumu wa ccm kwa jina la mahakimu na majaji.
 
Wanabodi ,Mfumuko wa bei au wengine wanaita Inflation haujaathiri bei za bidhaa tangu mwaka 2014 .Kwa kuwa mfumuko wa bei haujabadilika na bei za vitu hazijabadilika ndivyo hivyo uwezo wa watu kuuza au kununua haujabadiliaka, yaani "Purchasing Power"

Ongezeko la mishahara lazima liendane na uzalishaji mali iwe huduma au bidhaa pamoja na mfumuko wa bei.

Soma uzi huu wa 2018:
Bei za bidhaa hasa za vyakula zinazogusa watanzania wengi ni bei nafuu na hazijabadilika tangu mwaka 2014. Suala la kuwa na bei ambazo haziyumbi ni kutokana na utendaji bora wa Rais John Pombe Magufuli.

Vitu visivyokuwa na umuhimu kwa watanzania yaani luxury hayo ni mambo binafsi ya mtu hayahusiani na Serikali, Vitu kama nguo,magari au nyumba ni mambo binafsi hayawagusi maelfu ya Watanzania.

Ni muda muafaka Serikali kuangalia Sekta ya Umma na jinsi ya kupunguza matumizi kwenye Sekta hii hasa mishahara kuelekea 2025

Pesa zote zinazokusanywa kila mwezi karibu nusu au bilioni 500 zinatumika kulipa mishahara hawa watumishi wa uma na Serikali inabaki na pesa kidogo sana kwa ajili ya maendeleo.

Watumishi wazalendo na wenye uchungu na nchi hii wapo tayari kupunguziwa mishahara yao kwa kuundwa kwa scale mpya za mishahara ili ziandane na dira na ilani ya chama ya 2020-2025

Hakuna haja ya serikali kuumiza kichwa kwa watanzania wachache ambao wameajiriwa na serikali wasiofika hata idadi ya watu laki tano kwa kuwaongeza mishahara wakati mfumuko wa bei haujabadilika tangu mwaka 2014

Ni matarajio ya wengi Rais Magufuli atalisimamia hili la mfumuko wa bei hivyo hakutakuwa na ongezeko la mishahara kuelekea 2025. Mfumuko wa bei ukibadilika kidogo tena kidogo kwa mbali naweza shawishi serikali iongeze mishahara

Kwa hali ya sasa na ukuaji wa uchumi wa kati hakuna haja ya kuongeza mishahara kwa watumishi wa uma

Aidha,Namuunga mkono Maalim Seif na ACT Wazalendo kwa uamuzi wao wa kushiriki kulijenga Taifa imara la zanzibar

Mwisho, CCM Tutaendelea kushinda kwa kishindo zaidi kwa kutumia mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi kulingana na mahitaji ya watanzania kwa wakati muafaka.
Hiii inchi kuna watu wanajitoa sana ufahamu,mleta uzi ukapimwe mkojo maana Naisi usharuka mafukutu
 
Hizo za kuongeza na zitoke wapi Hali ndo kwanza wamebuni Kodi ya kitanda si ndo ujue Hali ni ngumu
 
Jiandae kwa mitusi na kejeli kutoka kwa watumishi.
 
Moja kwa moja nakubaliana na mleta uzi kuwa kodi yote tunayokusanya inaishia kwa watu hawa wachache watumishi wa Umma

Kwanini wakulima hawalalamiki hata ikatokea bei zao zikaporomoka kabisa kama mbaazi ilivyoporomoka?

Kwanini wafanyabiashara hawalalamiki ikitokea bidhaa zao haziuziki?

Hili Taifa linaundwa na makundi yote wakulima,wafanyakazi na wafanyabiashara

Tangu bei za vitu kuimarika sijasikia mfanyakazi yeyote akilalamika amelala njaa bali wanalalamika wanahitaji pesa ya kula bata mitaani

Hakuna kuongeza mishahara kwa kundi hili ,Tutashindwa kufanya shughuli za maendeleo.
Halafu hawa watumishi ndio wapiga kura wazuri wa ccm, kwa hiyo waachwe mpaka siku watakapopata akili
 
Mleta post itakuwa kula kulala,
Muulize mama yako,
Mwaka 2014 alipokuwa anakutuma dukani ukanunue kiberiti au sukari bei ilikuwaje,na Leo akikutuma bei ikoje?
Kama uko kwa shemeji muulize,2014 petrol Lita moja ilikuwaje na bei za leo zinafanana?
 
Back
Top Bottom