Watumishi wa umma,walalamika kucheleweshewa salary slip zako,

pacoma

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
631
500
Watumishi wa umma,wanalalamika kuchelewa kwa salary slip tangu July mpaka Sasa hawajazipata,huku wa kizitaka kwa ajili ya kuombea mikopo ya kupeleka watoto shule,wanasema bila slip ya hivi karibuni huwezi kukopa hela kwenye taasisi yoyote,zikiwepo mabenki,Wanamuomba waziri husika afuatilie ili wazipate mapema,wakakope,waweze kuwapeleka watoto shule
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom