Watumishi wa umma tegemeeni mishahara kupanda kwa asilimia 100 mwaka huu wa fedha 2020/2021

Torero

Senior Member
Dec 22, 2017
122
138
Ndugu,

Nimeona Bora niandike baada kuona kila dalili njema kwa serikali yetu tukufu itapandisha mishahara kwa watumishi wa Umma kwa asilimia walau 100 Kama si mara dufu. Sababu kubwa mwa dalili hizo ni huu ugonjwa wa Corona utapelekea watumishi kuonewa huruma kwa kupunguziwa makali ya maisha.

Kwa bahati nzuri Sana tuna serikali sikivu, na makini Sana inayojali maisha ya watumishi wake. Mwaka huu watumishi wa Uma kaeni tayari kwa mishahara minono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SEREKALI SIKIVU ipi hiyoo??au unaongelea hii inayowanyanyasa watumishi wa UMA?? Toka 2015 isiyoo taka kuajiri wadogo zetu walimu.
 
Mbele ya siasa kila kitu kinawezekana
ila hizi ndoto zako za mchana ni vema kubaki nazo,siyo kila ndoto husimuliwa!!
Ndugu,

Nimeona Bora niandike baada kuona kila dalili njema kwa serikali yetu tukufu itapandisha mishahara kwa watumishi wa Umma kwa asilimia walau 100 Kama si mara dufu. Sababu kubwa mwa dalili hizo ni huu ugonjwa wa Corona utapelekea watumishi kuonewa huruma kwa kupunguziwa makali ya maisha.

Kwa bahati nzuri Sana tuna serikali sikivu, na makini Sana inayojali maisha ya watumishi wake. Mwaka huu watumishi wa Uma kaeni tayari kwa mishahara minono

Sent using Jamii Forums mobile app

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
K
Ndugu,

Nimeona Bora niandike baada kuona kila dalili njema kwa serikali yetu tukufu itapandisha mishahara kwa watumishi wa Umma kwa asilimia walau 100 Kama si mara dufu. Sababu kubwa mwa dalili hizo ni huu ugonjwa wa Corona utapelekea watumishi kuonewa huruma kwa kupunguziwa makali ya maisha.

Kwa bahati nzuri Sana tuna serikali sikivu, na makini Sana inayojali maisha ya watumishi wake. Mwaka huu watumishi wa Uma kaeni tayari kwa mishahara minono

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mimi mtumishi wa umma, huu ni kati ya nyuzi mbaya kabisa kuwahi kuzisoma yaani!
 
Back
Top Bottom