Watumishi wa umma kupanda madaraja mwezi August na September.

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
WATUMISHI WENGI TANZANIA WANATARAJIA KUPANDA MADARAJA KATI YA MWEZI AGOSTI NA SEPTEMBA 2018 BAADA YA KUSUBIRIA SIKU NYINGI.

BAADA YA UFUATILIAJI WA KINA IMEGUNDULIKA KUWA WATUMISHI WENGI HAWAJAPANDA MADARAJA KWA MUDA MREFU NA KERO HII IMESIKIWA NA KUFANYIWA KAZI.

HIVYO KWA TAARIFA HII WATUMISHI WANAOMBWA KUHAKIKISHA HAWAPITWI NA UPANDAJI MADARAJA HUU AMBAO TAYARI TARATIBU ZOTE ZIPO MWISHONI NA HAKUNA AMBAYE HATAPANDA.

KWA KUANZIA NI WALE WANAOPITIA MAKUTANO YA TAZARA DARAJA LIPO MWISHONI NA LITAKAPOZINDULIWA MTAPANDA SANA ILA UMAKINI UNATAKIWA WAKATI WA KUPANDA USIJE KUSAHAULIKA MAANA HAKUNA MSEREREKO TENA.

PILI NI LILE LA KIGAMBONI ENDELEENI KUPANDA NA HATA KUPIGA PICHA.

TUNATARAJIA UBUNGO SIKU ZA KARIBUNI NDIO LITAKUWA FUNGA KAZI YA MADARAJA.

KWA MIKOANI LIPO DARAJA LA MKAPA, MABATINI NA FURAHISHA... (ROCK CITY MALL)

NAWATAKIA UTENDAJI MWEMA NA KUFURAHIA MADARAJA NI FAHARI YETU NA KODI ZETU SOTE.
 
ha ha ha ha ha ha
Mzee JPM awezi kuongeza mishahara mpaka nchi ipande kiuchumi aisee huo utabaki kuwa wimbo 2
 
Hongera serikali kwa kuliona hili.Hakika serikali ya awamu ya tano ni sikivu.UPANDAJI WA madaraja kwa wafanyakazi wa umma ulikuwa umechelewa sana.#CCM Mpya
 
Back
Top Bottom