Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Lile Jambo letu ktk TGTS kwa kuongeza kama ifuatavyo:

B - 62000
C - 60000
D - 55000
E - 50000
F - 45000
G - 30000
H - 25000
I -. 20000
Tunampongeza,kazi iendelee.

Ni vizuri kujua kilichopo kapuni.

Kazi iendelee


#MaendeleoHayanaChama
 
Nisamehe baby wangu, navyokupenda sasa.
Kuna mtu alikuja kuniletea dharau huko juu, shida mpo wengi humu na wengine wamekua kama wehu. Nisamehe sana
❤️daa,we jamaa una ulimi laini balaa🥰 yaan moyo wangu umetulia ghafla,mihemko ya hasira imeniisha.😜aisee🙌
 
Lile Jambo letu ktk TGTS kwa kuongeza kama ifuatavyo:

B - 62000
C - 60000
D - 55000
E - 50000
F - 45000
G - 30000
H - 25000
I -. 20000
Tunampongeza,kazi iendelee.

Ni vizuri kujua kilichopo kapuni.

Kazi iendelee


#MaendeleoHayanaChama

Hii ni baada ya makato yote?
 
Back
Top Bottom