Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Jambo lao kama jambo lao, hahaaaaa yaani mtu anaongezewa Tsh 3,500/= mwingine buku mbili , kwenye mshahara anashangiliiiia kweli wajinga ndio waliwao, siku zote nawaambiaga utumishi wa umma wa watanzania ni UTUMWA.

Mkuu watu wasiwe watumishi wa umma ili wasiwe watumwa et??
 
Oya 55K?

Yaani nyongeza ya 1.6 Trillion (2022/2023) Kwa ajili ya mishahara ya watumishi
Ndo iwe 55K? Kwa daraja D?

Basi kama ni ivo mtu WA daraja D hajaifikia hata 10% ya nyongeza ya mshahara wake

This is totally robbery.
Ni orodha ya majina ya watumishi wanaotakiwa kulipwa mshahara,
ukiuliza halmashauri yoyote kwa sasa wanajua TGTS/TGS na pesa wanayotarajiwa kulipwa mfano WALE TGTS D ni 55 ndo nyongeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uh
Oya 55K?

Yaani nyongeza ya 1.6 Trillion (2022/2023) Kwa ajili ya mishahara ya watumishi
Ndo iwe 55K? Kwa daraja D?

Basi kama ni ivo mtu WA daraja D hajaifikia hata 10% ya nyongeza ya mshahara wake

This is totally robbery.
Uhuni.
Jambo la watumishi limeangukia kwenye 50something😂😂😂
 
Back
Top Bottom