Watumishi wa umma kila Ijumaa kuvaa jezi ya timu ya Taifa kuhimiza uzalendo

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
Ili kuongeza kiwango cha uzalendo imehimizwa kila mfanyakazi au mtumishi wa umma kuvaa SARE YA JEZI YA TIMU YA TAIFA kila ikifika ijumaa ya wiki na hili liwe lazima kwa kila mtumishi wa umma haijalishi ni kitengo gani serikali kuu,serikali za mitaa vyombo vya ulinzi na usalama navyo vihusike kwa hili muhimu sana kwa taifa.Watanzania tuendelee kuipenda na kuitumikia nchi yetu na hakuna mtu atakayetoka nje kuja kutujengea nchi yetu zaidi yetu wenyewe.
 
Attachments

  • 375px-Flag_of_Tanzania.svg.png
    375px-Flag_of_Tanzania.svg.png
    1.3 KB · Views: 1
Si ungesema wavae mashati na falana za kijani za ccm, na suruali nyeusi, bila kusahau kushika ILANI yao ccm.
Usijifiche kwenye uzalendo, ikiwa unaongelea chama chako, nenda straight forward kwenye point.
 
Uzalendo haujengwi kwa mavazi, ni rahisi kwa mwajiri kulazimisha wafanyakazi wake wavae sare za kampuni, lkn haina maana kuws wanaipenda kampuni.

Vv
 
Ngoja tuone...

Na wakisindikizwa na kale cha nyimbo kanasema...

"🎶🎶Ingawa mimi bado ni kijana mdogo... lakini nimepewa jukumu la kukulinda wewe... Naapa mimi mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufa...🎶🎶

Cc: mahondaw
 
Ili kuongeza kiwango cha uzalendo imehimizwa kila mfanyakazi au mtumishi wa umma kuvaa SARE YA JEZI YA TIMU YA TAIFA kila ikifika ijumaa ya wiki na hili liwe lazima kwa kila mtumishi wa umma haijalishi ni kitengo gani serikali kuu,serikali za mitaa vyombo vya ulinzi na usalama navyo vihusike kwa hili muhimu sana kwa taifa.Watanzania tuendelee kuipenda na kuitumikia nchi yetu na hakuna mtu atakayetoka nje kuja kutujengea nchi yetu zaidi yetu wenyewe.

Nonesense
 
Back
Top Bottom