Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Wakati mwingine huwa nawashangaa watumishi wa umma mnapolialia kwamba serikali haiwajali.
Wakati wa kampeni 2015, mlijifanya viherehere wa kuwapigia kampeni na mlishapata posho zenu ikiwa ni pamoja na kusimamia uchaguzi mkuu. Waombaji wengi ambao hawakuwa makada fulani hawakuchaguliwa. Pia mlichokifanya ndani ya vituo vya kupiga kura, tunakifahamu.
Matokeo yake ndo kama hayo. Hata zoezi la vyeti feki wengi mliotumbuliwa ni makada hasa wazee, ila poleni.
Mliambiwa mchague ELIMU ELIMU ELIMU ila ninyi mkachagua HAPA KAZI TU. Hongera na muendelee hivyo hivyo 2020. Siku miradi ya maendeleo ikikamilika, watawakumbuka.
Mei mosi pale Moshi mliahidiwa ila baadae mwaka uliofata mkaambiwa kuwa mlimnukuu vibaya, hata hayo ya Mkuchika ya mei mosi kupanda madaraja mtaambiwa mmemnukuu vibaya.