Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

Kingjr2

JF-Expert Member
Sep 8, 2018
644
1,271
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.

Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa

Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo

Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa

Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!

Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-

1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani

2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala

3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala

4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi

5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!

Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui

Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!

Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni!
 
Ngoja nitoe laana yangu moja kwa moja,

Kwa yeyote ataepokea pesa na kuzitumia kwa furaha pesa hizo alizopewa kwa kusudi la kupotosha matokeo ya idadi ya kula (kuongeza kula upande wa CCM) namlaani apate dhiki ya kukaukiwa na pesa katika maisha yake, akose hela katika siku zake za usoni na aishi kwa mikopo na madeni hadi pale atakapo kili kosa lake mbele za watu na kuomba msamaha kwa Mungu mwenyezi.
 
Ulisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
 
Wewe mwenyewe usikute mzinifu, msengenyaji na dhambi kibao unazo hivyo badala ya kutubu unajifanya msafi wa kutoa laana kwa wenzio. Ujinga huu 🤣🤣🤣🤣
 
Upuuzi huu mtapata laana nyie ambao mnajihakikishia ushindi iwe isiwe. Kama vile mnapiga kura wenyewe.

Hao wote wanao tegemewa kufanya hivyo... Wana miaka 5 mishaharara yao Ni ileile haijapanda zaidi ya maumivi ya makato ya bodi ya mikopo ya elimu.... nao Wana Jambo lao...
 
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.

Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa

Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo

Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa

Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!

Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-

1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani

2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala

3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala

4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi

5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!

Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui

Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!

Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni!
Hizi akili za entitlement kama watoto wa Mama ni sababu tosha mnashindwa kuchukua madaraka.
 
Kama hali ndio hii basi mwaka huu hakuna uchaguzi bali uchafuzi. Na nchi hii ikiingia kwenye machafuko kwa sababu ya kulazimisha ushindi nchi nzima itaingia kwenye laana ya milele. Ee Mwenyezi Mungu isaidie nchi hii isije kuingizwa kwenye mauaji ya kimbari kwa sababu ya ulafi wa madaraka ya wanasiasa. Amina.

CC Erythrocyte BAK
 
Msihofu wasimamizi wengi watafuata sheria, kanuni na taratibu zote za usimamizi wa uchaguzi vituoni watafuata Haki
Hakuna mtumishi mpambuvu Wa kuchukiuka sheria
 
Police na walimu ndio kada inayoongoza kuishi maisha magumu Sana lkn ndio inayoisaidia ccm kwenye hujuma zote za wizi wa kura halafu ndio wanaongoza kulia ugumu wa maisha. Upo uhusiano wa umasikini na uwezo wa kufikiri.
 
Changamoto iliyopo asilimia kubwa ya wananchi hatujielewi,ukiuliza kwa nini unampa kura mgombea flani mtu atakwambia sababu labda ni chama flani au nampenda tu n.k

Ukifanya kosa ktk kupiga kura kuchagua mtu sahihi jua unatengeneza mazingira ya shida kwa kipindi flani.
Kifupi kila kitu kina mwanzo na mwisho.
Elimu .elimu . elimu
 
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.

Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa

Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo

Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa

Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!

Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-

1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani

2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala

3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala

4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi

5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!

Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui

Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!

Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni!

Upinzani endapo mkiacha kulalamika katika kila jambo hata yale yasiyo ya msingi.
Imetufanya wanachama wa vyama vingine hasa sisi tunaoenda kuunda serikali na hawa ambao hawana vyama kuona nyie kumbe ni lia lia tu.

Tumewachoka na vilio vyenu vya kila jambo bila sababu.
Na hii ndiyo inawacost sana, badala ya kufanya siasa nyie kazi kulia lia kwa kila jambo na kutoa tuhuma msizoweza kuthibitisha.

Hakika Tumewachoka, May be mtajifunza baada ya October 28th.
 
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.

Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa

Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo

Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa

Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!

Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-

1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani

2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala

3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala

4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi

5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!

Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui

Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!

Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni!
Sasa wewe ulitaka wawe akinanani manake Chadema ni kulalamika tu mlilalamika kuwa nchi haina ndege ndege zimeletwa ni kulalamika tu mlisema raisi anasafiri huyu hasfiri bado mnalalamika mlise.a dar msongamano flyover hizo bado mnalalamika..sasa mbadilike mnautoto mwingi mpaka raisi wenu wa ubeligiji tumesha wazoea...
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom