Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!
Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.
Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa
Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo
Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa
Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!
Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-
1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani
2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala
3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala
4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi
5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!
Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui
Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!
Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni!