Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Watumish wa umma wamekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya utawala huu kuwa seriakali haiwajali ,mara ina wanyima haki zenu za msing kama
1. Nyongeza ya mishahara
2. Kupanda madaraja na vyeo
3. Uhamisho
. -wa malipo.
. -usio na malipo yaan wa hiyari
4.kuajiri watumishi wapya ili mfanye nao kazi kwa ubora zaid kutokana na wingi wa majukumu
Lakin naomba ni waambie hata ungekuwa wewe ndiye rais wa nchi hii usinge ongeza mishahara wakati umeambiwa kuna watumish ambao hawapo bali yapo majina tuu na wasio na sifa na wanakula pesa za umma isivyo halali, na usinge pandisha vyeo watu ambao hawana vyeti ,wanavyeti bandia, na hawapo
Usinge hamisha mtumish iwe kwa kujigharamia au kugharamiwa na serikali wakati ndan ya wahamaji kuna mamluki na wasio na vyeti na wenye vyeti bandia ambao kuwahamisha kunge leta shida ku hakiki maana kwa mda wa uhakiki isingewezekana kukamilisha na kuhamisha nyaraka zote
Na wakati huo wote ukae ukijua pesa nyingi sana zinaenda kwenye utumish wa umma halafu ndani yake kuna aina hiyo ya watumish na nchi yetu ndio hiyo niwategemezi kwa sehemu kubwa na kipato chetu ni kidogo, kwakweli hata mimi ningemshangaa mh.rais kama asinge safisha nyumba kwanza.
Hivyo watumishi nadhan ni busara mkawa wavumilivu maana report ndio iko jikon inayo husu watumish hewa , vyeti bandia, na wasio na vyeti kabisa, na kihama chao chaja hivyo niwatie moyo watumishi hamjasahaulika wakati wenu tu bado haujafika , na ukifika mtayasahau hayo yote mliyo nayo mioyoni mwenu na mtaipenda serikali hii na hamto kuwa tayari itoke madarakani hata pale muda wake utakapo kuwa umeisha.