Watumishi wa uma awamu ya posho, warsha na semina imeisha tufanye kazi tujenge nchi

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,515
habari wadau..

nina imani wote tunaipenda nchi yetu...

mkuu wa nchi hatafuti hela kwa ajili ta warsha, posho na semina..

kama kula hizo hela tumeshakula sana miaka ya nyuma..

sasa tufanye kaziiiii...

source: ITV
 

Attachments

  • IMG-20170620-WA030.jpg
    IMG-20170620-WA030.jpg
    57.4 KB · Views: 26
Zile semina was like inservise training unapata update ya kazi yko na jinsi ya kuendana na mabadiliko ya technology sasa kama hakuna tutegemee watumishi kuwa outdated
 
Wacha weeee!!

Baba ulikuja na utaondoka muda wako ukiisha .

Utatuachia nchi yetu .

Una miaka 8 sio mingi sana tutakuvumilia .
 
Wacha weeee!!

Baba ulikuja na utaondoka muda wako ukiisha .

Utatuachia nchi yetu .

Una miaka 8 sio mingi sana tutakuvumilia .

Ameanza kuombwa kubadili Katiba asiwe na Kikomo na uzuri wake hayo Maombi yameanzia Home Geita, ni ngumu kukataliwa
 
Back
Top Bottom