Watumishi wa serikali wapya 3000 waliofukuzwa kazi wapanga kufungua kesi mahakamani

tofautisha barua ya kuitwa kazini na kuthibitishwa kazini? unapata wapi barua ya kuthibitishwa kazini wakati hujafika kazini?

Ni sheria ipi inayotoa uhalali kwa aliyepo probation kusimamishwa kazi pasi na kuendelea kulipa stahiki zake?

Issue siyo hawajathibitishwa, walikuwa waajiria na wanastahili kupewa stahiki zao zote kama waajiriwa.

Mimi naona wana very valid argument!
 
umesema vyema, na pointi ni hii; kama walifukuzwa bila utaratibu kwa nini waliondoka bila utaratibu, ikiwa waliitwa kwa utaratibu
Nani kakwambia waliondoka bila utaratibu?wakipewa barua za kuahirisha ajira,na ushahidi wa kuwafukuza kazi upo kwenye taarifa za utumishi kwenda media,na hata wao wamekuwa wakienda utumishi wanaelezwa hivyo.sasa utumishi wakaieleze mahakama kama imewafukuza au la.mahakama itaamuru warudishwe kazini bila masharti.upo?
 
Back
Top Bottom