Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,499
- 86,035
Katika hali isiyo ya kawaida, Waziri Jafo amepiga stop Watumishi wa Umma kuomba vibali ili kuhudhuria Warsha, Mikutano, Makongamano na Semina kwa madai kuwa;
1. Watumishi wana "concentrate" kwenye hizo issues kuliko kuwasaidia Wananchi.
2. Kwamba msimu wa kilimo umeanza na hivyo Wananchi kuhitaji huduma zao
3. Kwamba kuna mafuriko
Naambatanisha barua na video kwa maelezo zaidi.
Athari:
Watumishi kutokuwa "updated" juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea nchini na duniani.
Watumishi wa Umma kushindwa "kushare experience" na Wananchi ambao hutumia wawakilishi wao kujifunza ili nao wajifunze (T.O.Ts)
Ufanisi wa Watendaji kupungua ikiwa ni pamoja na morale ya kufanya kazi
Kuzidi kuwaminya Wafanyakazi kimaslahi kwani walikua wakipata posho ambazo husaidia kupunguza makali ya maisha.
Kupunguza mzunguko wa fedha kwenye soko!
Kitochi Original