Katika kile kinachodaiwa kwamba watumishi wa serikali wanaogopa kuichambua katiba kwa kuogopa kuwa wataonekana kuwa ni wafuasi wa CHADEMA. Hili limebainika hapa mjini Moshi katika kata mojawapo hapa Manispaa sasa je watumishi hawana haki iyo? inawezekana wanachimbwa mkwara wasifanye hivyo au ni vipi na je maoni ya katiba mpya hawatajamani naomba kuwasilisha.