Watumishi wa serikali/umma ni CCM au Upinzani?

Watumishi wa umma wana vyama vyao Moyoni mwao, kwa kuwa sio ruhusa kuleta ushabiki wa kichama/ kisiasa mahali pa kazi
 
Watumishi wa serikali ni makada wa ccm / umma ni wapinzani ...tunajivunia nguvu ya umma ....au , ..peoplesssss....poweeeeeeer
 
Kwasasa hata mkiwa mnajadili mambo ya siasa kwenye sehemu/vijiwe vyenu vya biashara au kazi,kuna umuhimu wa kujichunga usionyeshe hisia zako /zenu za kichama,mkigundulika kijiwe chenu kinashabikia au chembechembe za chama fulani ,baada ya siku kazaa tunapitisha greda kupisha ujenzi wa barabara.
 
Back
Top Bottom