Watumishi wa serikali/umma ni CCM au Upinzani?


jsenyinah

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
249
Likes
328
Points
80
jsenyinah

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
249 328 80
Je Watumishi wa serikali/umma ni CCM au Upinzani?
Naombeni jibu...

 
comrade igwe

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Messages
7,329
Likes
3,819
Points
280
comrade igwe

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2015
7,329 3,819 280
Watumishi wa umma wana vyama vyao Moyoni mwao, kwa kuwa sio ruhusa kuleta ushabiki wa kichama/ kisiasa mahali pa kazi
 
Geofrey Maseta

Geofrey Maseta

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2015
Messages
1,119
Likes
903
Points
280
Geofrey Maseta

Geofrey Maseta

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2015
1,119 903 280
Watumishi wa serikali ni makada wa ccm / umma ni wapinzani ...tunajivunia nguvu ya umma ....au , ..peoplesssss....poweeeeeeer
 
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,126
Likes
5,232
Points
280
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,126 5,232 280
Kisheria hawapaswi kuwa na vyama,ila kihalisia wana vyama vyao mioyoni mwao...
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,826
Likes
13,921
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,826 13,921 280
Watumishi wa serikali ni makada wa ccm / umma ni wapinzani ...tunajivunia nguvu ya umma ....au , ..peoplesssss....poweeeeeeer
Hahahahahaaaaaa! Utasemaje umma ni upinzani ilhali kura zenu hazikutosha kuunda Serikali?
 
nelly nashon

nelly nashon

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Messages
241
Likes
497
Points
180
Age
32
nelly nashon

nelly nashon

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2015
241 497 180
Niwatumishi WA uma( public servants
 
Tanwise

Tanwise

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Messages
441
Likes
985
Points
180
Tanwise

Tanwise

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2015
441 985 180
Unaweza kutemwa ukionekana na element za upinzani.
 
Geofrey Maseta

Geofrey Maseta

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2015
Messages
1,119
Likes
903
Points
280
Geofrey Maseta

Geofrey Maseta

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2015
1,119 903 280
Hahahahahaaaaaa! Utasemaje umma ni upinzani ilhali kura zenu hazikutosha kuunda Serikali?
Mnadhulumu rambi rambi unashangaa nn kudhulumu kitu kinacho kufanya ubakie madarakani ?? mfano mzr ni zanzibar
 
mlimilwa

mlimilwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
2,091
Likes
1,394
Points
280
mlimilwa

mlimilwa

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
2,091 1,394 280
Kwasasa hata mkiwa mnajadili mambo ya siasa kwenye sehemu/vijiwe vyenu vya biashara au kazi,kuna umuhimu wa kujichunga usionyeshe hisia zako /zenu za kichama,mkigundulika kijiwe chenu kinashabikia au chembechembe za chama fulani ,baada ya siku kazaa tunapitisha greda kupisha ujenzi wa barabara.
 

Forum statistics

Threads 1,273,308
Members 490,351
Posts 30,477,653