Watumishi wa serikali nisaidieni kwa hili

bhakamba

Member
Oct 10, 2016
78
68
Kuna uwezekano wa mtumishi kupata mkopo nje ya kituo chake cha kazi,mfano umeajiliwa MWANZA tatizo likakufika ukarudi kwenu iringa unahitaji mkopo wa haraka kurekebisha tatizo kwa hizi taasisi za fedha
 
Kinachotakiwa ni uwezekano wa wewe kwanza kupata barua ya utambulisho toka Ofisini kwako Na kumsainisha incharge wako.Signatures zingine wao benk watawasiliana na branch yao iliyo karibu na mwajiri wako.
 
Kwa mkopo ambao utahitaji kakatwa katika mshahara wako completely haiwezekani kwani lazima HR wa Halmashauri yako ndio mwenye uwezo wa kukuona katika mfumo na kukuingizia makato
 
Back
Top Bottom