Watumishi wa serikali bwana!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,591
Jaman watumishi wa serikali!Jaman watumishi wa serikali nyie!
Watumishi wa serikali walienda kwa babu Loliondo, baada ya kupata kikombe babu akawaambia,
"haya 500 yangu"
si wakatoa kadi za bima ya afya!..Babu akabaki amepigwa butwaa akasema hii nchi mpaka kondom mtatoa kadi za bima ya afya!!
 
Hivi bado anaendelea na kikombe chake?
 
Back
Top Bottom