KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Jaman watumishi wa serikali!Jaman watumishi wa serikali nyie!
Watumishi wa serikali walienda kwa babu Loliondo, baada ya kupata kikombe babu akawaambia,
"haya 500 yangu"
si wakatoa kadi za bima ya afya!..Babu akabaki amepigwa butwaa akasema hii nchi mpaka kondom mtatoa kadi za bima ya afya!!