Watumishi wa afya nchini Zimbabwe waingia katika mgomo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,609
Mamia ya watumishi wa umma wa Sekta ya Afya nchini humo wamegoma kutokana na mishahara duni na mazingira duni ya kazi. Mgomo huo unawahusha madaktari, madaktari wakuu, wauguzi pamoja na wanaradiografia.

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wanakiri kwamba wagonjwa wanaweza kufa kutokana na mgomo huo, lakini wanashindwa kuhudumia familia zao huku Serikali ikigoma kufanya nao mazungumzo

Inaelezwa kuwa Serikali imetangaza kuongeza mishahara kufikia mwezi Julai, hata hivyo watumishi wanadai kuwa kiasi kilichopendekezwa bado kitakuwa chini ya kiwango


.................................................................


Hundreds of Zimbabwe’s public sector health workers have gone on strike over low wages and poor working conditions.

It follows a worsening economic crisis that has seen thousands of health workers leave public service in the last three years.

The cost of food and services has more than doubled recently as a result of the war in Ukraine and the annual inflation reached just over 130% in May - one of the highest in the world.

Nurses, senior doctors and radiographers are among those expected to withdraw their services on Monday.

Union leaders acknowledge that patients may die as a result of the strike, but say they cannot feed their families.

They added that the government had refused to engage them.

On Saturday, the government said it would double wages in July, but a union official has told the BBC that the amount proposed would still be below a living wage.

The public health system has collapsed over the last 20 years due to neglect and poor administration.

Source: BBC
 
Rais Mnangagwa alijipendekeza kwa wazungu akawapa mashamba yaliyochukuliwa na Mugabe lakini hali bado tete?
 
Back
Top Bottom