Watumishi wa Afya kuvaa mavazi ya kazi kwenye usafiri wa Umma ni hatari kwa afya za wananchi

wewe nesi wa kiume waambie manes wenzio nguo wavulie huko huko
Hakuna wa kuvua nguo ili mradi hakuna sheria inasema hivyo.

Chagua moja kuwavumilia binadamu wenzako wakati wa kusafiri kwenye usafiri wa umma au nunua gari lako.
 
Kawaida hospital kuna dressing room. Mtu unakwenda na nguo zako.Ukifika hospital ndo unavaa uniform. Ukimaliza kazi unakwenda kuvaa nguo zako. Zile uniform ulizovaa unaweka kwenye fuko la nguo chafu. Wafuaji watakuja kukusanya na kupeleka washing house. Ulaya raha jamaniiiiiiiiiiii.

upo sahihi zaidi ila umesahau kumalizia kua ni kwa ulaya.
 
sheria ya mavazi ya serikali inamtaka kila muhudumu kutokuvaa nguo ya kazi(uniform) nje ya eneo la kazi(hospitali/zahanati/kituo cha afya) tafadhali pitia sheria ya mavazi ya kazi.
 
sheria ya mavazi ya serikali inamtaka kila muhudumu kutokuvaa nguo ya kazi(uniform) nje ya eneo la kazi(hospitali/zahanati/kituo cha afya) tafadhali pitia sheria ya mavazi ya kazi.
mbn sasa wapo wanaokiuka?
 
Back
Top Bottom