Watumishi wa afya Kenya wagoma leo 10th February | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watumishi wa afya Kenya wagoma leo 10th February

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Mupirocin, Feb 10, 2012.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Baada ya mgomo wa madaktari nchini Tanzania kusitishwa jana leo umehamia nchini Kenya ambapo watumishi wote wa afya wamegoma baada ya serikali kushindwa kuwatekelezea madai ya nyongeza ya mishahara na marupurupu ambayo waliomba wiki kadhaa zilizopita baada ya serikali yao kuwaahidi ingewatekelezea before yesterday. Sasa wamegoma kwa wiki tatu mpaka serikali itekeleze madai yao.
  Source: KBC
  MY take:
  serikali yetu imetuahidi baada ya wiki mbili na sisi tumeamua mpaka kufikia march 3 kama serikali itakuwa kimya tutarudia mgomo ambao utakuwa non stop.
   
 2. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mvua njoooooo.....Katerinaaaa njoooooo x 10
   
 3. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  kama ni kweli mtaona wenzetu wanavyojitambua raia lzm wawashe moto kwa sirikali sio huku tupo tupo tu ka mazuzu
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbona kwenye website yao hakuna hiyo story mkuu
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  wanasiasa kigeugeu!lakini lazima wabanwe sana!
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,136
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  mkuu umenikumbusha mbali kweli....
   
 7. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hawa watani wetu hawana subira.....kitalia kitu muda wowote kuishinikiza serikali kuyafanyia madai ya madaktari haraka iwezekanavyo
   
Loading...