Watumishi tusishangae ongezeko kiduchu la mshahara kwani rais hakutaja kiasi halisi

stigajemwa

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
449
430
Wanabodi,
Nimeamua kuwakumbusha juu ya ahadi ya jpm kuongeza mishahara kwa watumishi wa serikali japo hakutaja asilimia.

Yaliyotokea toka ahadi hiyo itoke ni mengi ikiwa ni pamoja na bunge la bajeti,japo yote yalifunikwa na makinikia.

Nasema hivyo kwa sababu hakuna aliyefuatilia bunge la bajeti kwa umakini kutokana na kufunkkwa na hoja ya makinikia ambayo imewasilishwa kwa kupotoshwa kwa kiasi kikubwa

Ushauri wangu:
kwa kuwa bunge la bajeti halikufuatiliwa ipasavyo hakuna anayejua ni kwa kiasi gani ahadi za ongezeko la mshahara na ajira 52000 imezingatiwa katika bajeti.

Hivyo ikitokea ktk mshahara ea mtumishi ongezeko ni tsh 10000/15000/ au 20000/ tu kulingana na mshajara wako usishangae.Japo kwa maisha yalivyopanda ongezeko lilipaswa lianzie tsh80000/ kupanda juu
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom