Watumishi mnashinda kwenye mitandao ya kijamii muda wa saa za kazi ikifika May Mosi mnadai muongezewe mishahara na kupandishwa madaraja

Kulikuwa na mpango wa kuzima internet kuanzia saa 1:30 asubuhi hadi saa 9:30 mchana, huu mpango ulifikia wapi? Hii ndio ilikuwa suluhisho la tatizo hilo ingawa kuna hasara kwa upande mwingine. Hata hivyo, siyo muda wote mtumishi anahudumia watu. Tuchukulie mfano mwalimu, akimaliza kufundisha kipindi cha saa 2:00 asubuhi, unakuta kipindi kingingine kipo saa 4:30 baada ya chai, je huu muda hapa kati atakua anafanya nini kama siyo kuchungulia kwenye mitandao ili kuona watu wanavyoenda kuomba msamaha?
 
Mkuu wengine kazi zao zinategemea hiyo internet, mfano watafiti na wahadhiri lazima wawe na access na internet muda wote
 
Tanzania vituko haviishi, ukikaribia muda wa mei mosi utasikia serikali inaanza kuchakata mifumo ya kiutumishi, utasikia OP-RAS, utasikia sijui Kanzi data, utasikia mara uhakiki, utasikia mara kuunda tume ya mishahara......mnachekesha sana, nikuulize mtoa mada, je ni watumishi wote hushinda kwenye mitandao? Je, ni wote hawatimizi majukumu yao? Je, wale ambao hawatimizi majukumu yao serikali imeshwachukulia hatua gani? Je, wanaotimiza majukumu yao serikali imeshawaongezea mshahara? Nikukumbushe tu kwa taarifa yako nahisi Watumishi walisha achana na habari za nyongeza ,sijui madaraja sijui manini, wanafanya kazi kama mwajiri anavyotaka lakini FAINALI UZEENI. Hata hivyo Mh Rais aliwahaidi kuwa atawaongezea mshahara mnono kabla muda wake haujaisha, japo aliwaweka njia panda maana hakusema ni muda wake wa hawamu ya kwanza yaani 2020 au 2025. Watumishi fanyeni kazi tulijenge Taifa letu.
 
Tunahitaji kuwa na mfumo mbadala wa kutrack mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi sio huu uliopo ambao watumishi wanajiandikia extra duties, overtime bila kuwa na justification za ukweli.

Serikali hii bado inaibiwa sanaaa na ndio maana lazima tumshauri rais ipasavyo na sio kutetea vitu ambavyo ni majanga kwa taifa.

Hii nchi ni ya watanzania ni lazima wote angalau wafaidi uwepo wa rasilimali na ndio maana tunahitaji mfumo mbadala wa kuwadhibiti wadanganyifu
 
Akili za kimaskini hizi.
Kwa akili zako fupi tena za kike wewe unadhani inawezekana kila mtanzania akawa mwajiriwa wa serikali?
Kwa taarifa yako mtumishi anayejielewa anaanza mapema tu kuandaa plan b ya mishe ya kumuingizia kipato ili asije kupata taabu pale anapokoma kuwa mtumishi.
BTW hata dunian huko n ngumu serikali ikatoa ajira kwa kila RAIA haiwezekani.
Acha kulilia humu na kujipendekeza paambaav.
 
Tunahitaji kuwa na mfumo mbadala wa kutrack mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi sio huu uliopo ambao watumishi wanajiandikia extra duties, overtime bila kuwa na justification za ukweli.

Serikali hii bado inaibiwa sanaaa na ndio maana lazima tumshauri rais ipasavyo na sio kutetea vitu ambavyo ni majanga kwa taifa.

Hii nchi ni ya watanzania ni lazima wote angalau wafaidi uwepo wa rasilimali na ndio maana tunahitaji mfumo mbadala wa kuwadhibiti wadanganyifu
Wewe jamaa sidhani kama una akili timamu, uweke mifumo ya kuwathbiti watumishi wakati mshahara wenyewe unawalipa pesa ya kununua vitumbua, mkiambiwa watu walipwe kima cha chini angalu laki saba kufuatana na hali ya maisha mnabaki kutisha na kuwanunua viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Cha muhimu kila mtu apambane na hali yake
 
Bosi mwenyewe anasisitiza tuwe na Smartphone,Pc etc, zenye ku access internert wakati wote.
Na kwa taarifa yako,kuna internet ya bure ofisini now days,maelekezo na mawasiliano ya kiofisi mengine yanakuja via Whats app, email& messenger, na usipokuwa online smtz unakumbushwa.
Sometimes tunaulizwa,umeona tangazo kweny tovuti ya wizara,au tamko la mkuu umelisikia?
Au maoni ya wananchi juu ya huduma yako umeyasikia?
So acha fikra potofu,na usidhihirishe chuki zako dhidi ya watumishi.
Mkuu mwenyewe unayempa maoni yako,anakuona bonge la mshamba,maana naye ni shabiki
mzuri wa mtandao saa zote.🥳🥳🥳
 
Bosi mwenyewe anasisitiza tuwe na Smartphone,Pc etc, zenye ku access internert wakati wote.
Na kwa taarifa yako,kuna internet ya bure ofisini now days,maelekezo na mawasiliano ya kiofisi mengi tunayapokea via Whats app, email& face book messenger, na usipokuwa online smtz unafokewa.
Sometimes tunaulizwa,umeona tangazo kweny tovuti ya wizara,au tamko la mkuu umelisikia?
Au maoni ya wananchi juu ya huduma yako umeyasikia?
So acha fikra potofu,na usidhihirishe chuki zako dhidi ya watumishi.
Mkuu mwenyewe unayempa maoni yako,anakuona bonge la mshamba,maana naye ni shabiki
mzuri wa mtandao saa zote.
Office gani hiyo mnatumiana memo facebook?? Itaje muanze kushughulikiwa mapema.
 
Tunahitaji kuwa na mfumo mbadala wa kutrack mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi sio huu uliopo ambao watumishi wanajiandikia extra duties, overtime bila kuwa na justification za ukweli.

Serikali hii bado inaibiwa sanaaa na ndio maana lazima tumshauri rais ipasavyo na sio kutetea vitu ambavyo ni majanga kwa taifa.

Hii nchi ni ya watanzania ni lazima wote angalau wafaidi uwepo wa rasilimali na ndio maana tunahitaji mfumo mbadala wa kuwadhibiti wadanganyifu
Una track utendaji kazi wakati hujawaongezea watumishi malipo yao kwa miaka 4? Huo utendaji kazi utatoka wapi?
 
Ni sawa mkuu hata mimi siwezi kutetea utendaji usiyoridhisha na kumpatia mtumishi mshahara usiyostahiki yake lakini kwanini haya mambo yanakuja sasa hivi? OK watumishi wana miaka karibia 4 haki zao zikiwa zimetiwa kapuni ikiwemo madaraja na nyongeza ya mishahara, vip tunaanza kuwalipa stahiki zote za miaka ya nyuma ndo tua
Tunahitaji kuwa na mfumo mbadala wa kutrack mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi sio huu uliopo ambao watumishi wanajiandikia extra duties, overtime bila kuwa na justification za ukweli.

Serikali hii bado inaibiwa sanaaa na ndio maana lazima tumshauri rais ipasavyo na sio kutetea vitu ambavyo ni majanga kwa taifa.

Hii nchi ni ya watanzania ni lazima wote angalau wafaidi uwepo wa rasilimali na ndio maana tunahitaji mfumo mbadala wa kuwadhibiti wadanganyifu
 
Watumishi wengi ukiachana na walimu wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii wakichati na wengine wakirusha picha kwenye status za WhatsApp.
Wengine utawakuta Instagram, mara Facebook huo ni muda wa kazi .
Sasa unabaki kujiuliza hivi huyu mtumishi anafanya kazi muda gani?
Na hawa ndio ikifika may mosi wananyanyua mabango wakidai kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja na kudai allowance mbali mbali zikiwemo house allowance, communication allowance, electricity allowance n.k.

Namshauri yafuatayo Mzee wetu mzalendo nambari moja Dr Magufuli.

1. Tathimini ya kina ifanyike kwa watumishi wote wa umma kama kweli wanalipwa mshahara kulingana na majukumu yao.

2. OPRAS ya makaratasi iliyopo sasa ifanyiwe maboresho na iwe ya ki electronics ambayo mtumishi ataweza kujaza majukumu yake tarajiwa kwa mwaka wa fedha husika, utekelezaji wa majukumu kwa siku, kwa mwezi,kwa robo mwaka na hadi mwaka. ( hii itasaidia kujua uhaliasia wa mipango inayopangwa).

3.OPRAS iunganishwe na mifumo ya ya bajeti ya Serikali kuu na Serikali za mitaa ( mifumo iwasiliane).

4. Faida ya kuwa na electronic OPRAS itasaidia kutrack add hoc overtime vile vile kutrack extra duties zisizokuwa na uhalisia ambazo mara nyingi utakuta mtumishi anazidai kwa justification za uongo.

5. Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya viongozi kupewa communication allowance kila mwezi lakini hawazitumii ipasavyo badala yake maafisa na watumishi wa kada za chini wasiopewa hizo fedha hutumia fedha zao kuwasiliana ( kuratibu) na watumishi wenzao pindi wanapohitaji kujua mambo kadhaa. Kuna haja ya Serikali kuweka system ya kutrack matumizi halisi ya hizi fedha za mawasiliano Kwa wakuu wa idara.

6. Na mwisho kabisa nimpongeze mh Rais wetu Dr Magufuli kwa maamuzi yake ya kishujaa aliyofanya kwa kutujengea sisi watanzania wa hali ya chini hospitali za wilaya zaidi ya 60 na vituo vya afya na zahanati nyingi ndani ya miaka 4. Tena kwa fedha za ndani. Fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa udanganyifu mbali mbali.

Karibu kwa machango wenu wa kujenga tu na sio matusi .
Hao wamejaa kila kona ya ofisi si wanawake si wanaume hawajali kutoa huduma kwa wateja wao na wengine hata madukani! Yalinikuta Tandika muuza duka yuko busy ana chart! !!
 
Wakati huo huo 1.5 trillion iliyokwapuliwa hazina na huyu kubwa la majizi hukuiona! Trillions anazotumia kinyemela bila idhini ya Bunge kisha kuficha kwenye mafungu ya wizi na ufisafi (VOTE 20 & 30) ili ofisi ya CAG ili zisikaguliwe hukuona! Lakini unampongeza huyo janga kubwa la Taifa!!!!!

UNAFIKI NA UPUMBAVU vinaiangamiza Tanzania.

Watumishi wengi ukiachana na walimu wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii wakichati na wengine wakirusha picha kwenye status za WhatsApp.
Wengine utawakuta Instagram, mara Facebook huo ni muda wa kazi .
Sasa unabaki kujiuliza hivi huyu mtumishi anafanya kazi muda gani?
Na hawa ndio ikifika may mosi wananyanyua mabango wakidai kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja na kudai allowance mbali mbali zikiwemo house allowance, communication allowance, electricity allowance n.k.

Namshauri yafuatayo Mzee wetu mzalendo nambari moja Dr Magufuli.

1. Tathimini ya kina ifanyike kwa watumishi wote wa umma kama kweli wanalipwa mshahara kulingana na majukumu yao.

2. OPRAS ya makaratasi iliyopo sasa ifanyiwe maboresho na iwe ya ki electronics ambayo mtumishi ataweza kujaza majukumu yake tarajiwa kwa mwaka wa fedha husika, utekelezaji wa majukumu kwa siku, kwa mwezi,kwa robo mwaka na hadi mwaka. ( hii itasaidia kujua uhaliasia wa mipango inayopangwa).

3.OPRAS iunganishwe na mifumo ya ya bajeti ya Serikali kuu na Serikali za mitaa ( mifumo iwasiliane).

4. Faida ya kuwa na electronic OPRAS itasaidia kutrack add hoc overtime vile vile kutrack extra duties zisizokuwa na uhalisia ambazo mara nyingi utakuta mtumishi anazidai kwa justification za uongo.

5. Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya viongozi kupewa communication allowance kila mwezi lakini hawazitumii ipasavyo badala yake maafisa na watumishi wa kada za chini wasiopewa hizo fedha hutumia fedha zao kuwasiliana ( kuratibu) na watumishi wenzao pindi wanapohitaji kujua mambo kadhaa. Kuna haja ya Serikali kuweka system ya kutrack matumizi halisi ya hizi fedha za mawasiliano Kwa wakuu wa idara.

6. Na mwisho kabisa nimpongeze mh Rais wetu Dr Magufuli kwa maamuzi yake ya kishujaa aliyofanya kwa kutujengea sisi watanzania wa hali ya chini hospitali za wilaya zaidi ya 60 na vituo vya afya na zahanati nyingi ndani ya miaka 4. Tena kwa fedha za ndani. Fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa udanganyifu mbali mbali.

Karibu kwa machango wenu wa kujenga tu na sio matusi .
 
Diwani athuman anza na vita kama hii thread ambayo inaonekana yenye maslahi ya taifa.

Tafuta maafisa ( majasusi) wakuchambulie hii kitu kwa undani zaidi ,naamini watatoka na kitu chenye maslahi kwa taifa
 
Ni sawa mkuu hata mimi siwezi kutetea utendaji usiyoridhisha na kumpatia mtumishi mshahara usiyostahiki yake lakini kwanini haya mambo yanakuja sasa hivi? OK watumishi wana miaka karibia 4 haki zao zikiwa zimetiwa kapuni ikiwemo madaraja na nyongeza ya mishahara, vip tunaanza kuwalipa stahiki zote za miaka ya nyuma ndo tua
Ndio hawa tunaozungumzia
Screenshot_20190913-174058.jpeg
 
Back
Top Bottom