Watumishi mnashinda kwenye mitandao ya kijamii muda wa saa za kazi ikifika May Mosi mnadai muongezewe mishahara na kupandishwa madaraja

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
477
750
Watumishi wengi ukiachana na walimu wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii wakichati na wengine wakirusha picha kwenye status za WhatsApp.
Wengine utawakuta Instagram, mara Facebook huo ni muda wa kazi .
Sasa unabaki kujiuliza hivi huyu mtumishi anafanya kazi muda gani?
Na hawa ndio ikifika may mosi wananyanyua mabango wakidai kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja na kudai allowance mbali mbali zikiwemo house allowance, communication allowance, electricity allowance n.k.

Namshauri yafuatayo Mzee wetu mzalendo nambari moja Dr Magufuli.

1. Tathimini ya kina ifanyike kwa watumishi wote wa umma kama kweli wanalipwa mshahara kulingana na majukumu yao.

2. OPRAS ya makaratasi iliyopo sasa ifanyiwe maboresho na iwe ya ki electronics ambayo mtumishi ataweza kujaza majukumu yake tarajiwa kwa mwaka wa fedha husika, utekelezaji wa majukumu kwa siku, kwa mwezi,kwa robo mwaka na hadi mwaka. ( hii itasaidia kujua uhaliasia wa mipango inayopangwa).

3.OPRAS iunganishwe na mifumo ya ya bajeti ya Serikali kuu na Serikali za mitaa ( mifumo iwasiliane).

4. Faida ya kuwa na electronic OPRAS itasaidia kutrack add hoc overtime vile vile kutrack extra duties zisizokuwa na uhalisia ambazo mara nyingi utakuta mtumishi anazidai kwa justification za uongo.

5. Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya viongozi kupewa communication allowance kila mwezi lakini hawazitumii ipasavyo badala yake maafisa na watumishi wa kada za chini wasiopewa hizo fedha hutumia fedha zao kuwasiliana ( kuratibu) na watumishi wenzao pindi wanapohitaji kujua mambo kadhaa. Kuna haja ya Serikali kuweka system ya kutrack matumizi halisi ya hizi fedha za mawasiliano Kwa wakuu wa idara.

6. Na mwisho kabisa nimpongeze mh Rais wetu Dr Magufuli kwa maamuzi yake ya kishujaa aliyofanya kwa kutujengea sisi watanzania wa hali ya chini hospitali za wilaya zaidi ya 60 na vituo vya afya na zahanati nyingi ndani ya miaka 4. Tena kwa fedha za ndani. Fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa udanganyifu mbali mbali.

Karibu kwa machango wenu wa kujenga tu na sio matusi .
 
Umepiga penyewe usitegemee hii mada kupata wachangiaji wengi.
 
Uko ndipo wanapopunguzia stress hawawezi kumchana live mzee baba hasira zao wanazimalizia uko
 
Kumbuka ya kwamba watumishi wengi sana huko Serikalini wapo "physically" tu, lakini "mentally" hawapo huko. NA huu ni ukweli mchungu ambao haufichiki wala haupingiki
 
Idara nyingi wamejazana wafanyakazi kibao. Kazi ya kufanywa na mtu mmoja unakuta wamejazana kumi kupiga majungu kujipendekeza na kulogana. Naishauri serikali iangalie uwiano wa watumishi na kazi wanazofanya na iwapunguze. Alafu izuie matumizi ya smartphone wakati wa kazi ikibidi wapewe simu za vitochi ambazo hazina mitandao
 
We ulijuaje kama yuko online kama na wewe hukuchungulia? BTW msiwapangie watu namna ya kuishi..kuna mdau kasema hapo juu kama mnarundikana kwenye ofisi kwa kujuana tija haiwezi kuja matokeo yake ndio hayo..
 
Kwa hiyo unataka watumishi wa umma wawekeze nguvu na akili kwa 100% kwenye kazi huku wakiwa wakitambua fika haki zao za msingi zinakiukwa na mtu aliyepewa dhamana ya kuwa mwajiri!

Wacha waendelee tu kujivinjari kama njia pekee ya wao kupunguza maumivu ya kutopandishiwa mishahara yao kwa miaka minne sasa! Na nikuhakikishie mtoa mada, ni rahisi kumlazimisha punda kwenda mtoni! lakini hutaweza kumlazimisha kunywa maji.
 
Watumishi wengi ukiachana na walimu wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii wakichati na wengine wakirusha picha kwenye status za WhatsApp.
Wengine utawakuta Instagram, mara Facebook huo ni muda wa kazi .
Sasa unabaki kujiuliza hivi huyu mtumishi anafanya kazi muda gani?
Na hawa ndio ikifika may mosi wananyanyua mabango wakidai kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja na kudai allowance mbali mbali zikiwemo house allowance, communication allowance, electricity allowance n.k.

Namshauri yafuatayo Mzee wetu mzalendo nambari moja Dr Magufuli.

1. Tathimini ya kina ifanyike kwa watumishi wote wa umma kama kweli wanalipwa mshahara kulingana na majukumu yao.

2. OPRAS ya makaratasi iliyopo sasa ifanyiwe maboresho na iwe ya ki electronics ambayo mtumishi ataweza kujaza majukumu yake tarajiwa kwa mwaka wa fedha husika, utekelezaji wa majukumu kwa siku, kwa mwezi,kwa robo mwaka na hadi mwaka. ( hii itasaidia kujua uhaliasia wa mipango inayopangwa).

3.OPRAS iunganishwe na mifumo ya ya bajeti ya Serikali kuu na Serikali za mitaa ( mifumo iwasiliane).

4. Faida ya kuwa na electronic OPRAS itasaidia kutrack add hoc overtime vile vile kutrack extra duties zisizokuwa na uhalisia ambazo mara nyingi utakuta mtumishi anazidai kwa justification za uongo.

5. Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya viongozi kupewa communication allowance kila mwezi lakini hawazitumii ipasavyo badala yake maafisa na watumishi wa kada za chini wasiopewa hizo fedha hutumia fedha zao kuwasiliana ( kuratibu) na watumishi wenzao pindi wanapohitaji kujua mambo kadhaa. Kuna haja ya Serikali kuweka system ya kutrack matumizi halisi ya hizi fedha za mawasiliano Kwa wakuu wa idara.

6. Na mwisho kabisa nimpongeze mh Rais wetu Dr Magufuli kwa maamuzi yake ya kishujaa aliyofanya kwa kutujengea sisi watanzania wa hali ya chini hospitali za wilaya zaidi ya 60 na vituo vya afya na zahanati nyingi ndani ya miaka 4. Tena kwa fedha za ndani. Fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa udanganyifu mbali mbali.

Karibu kwa machango wenu wa kujenga tu na sio matusi .
Huu nao ni Upupu kama Upupu mwingine whacha niwahi Magogoni nikaombe Msamaha wa kutopata increment na kupandishwa daraja toka ameshika kijiti four years now!
 
Watumishi wengi ukiachana na walimu wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii wakichati na wengine wakirusha picha kwenye status za WhatsApp.
Wengine utawakuta Instagram, mara Facebook
486768_455635981197802_377335298_n.jpg
 
Simpo, ajiri wasiotumia mitandao ya kijamii, hasa wa vijijini wale hata simu ya tochi hawana
 
Wewe ungekua mwajiri ungetaka hata watu wasile.Kazi ni muhimu lakini lazima kuwe na mipango kazi itakayowawezesha kufanya kazi kwa ufanisi nasio kushinda kazini.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom