Watumishi mkoa wa mwanza taabani hawajaripwa mishahara ya mwezi may 2013

Masai man

Member
Apr 9, 2013
10
1
Hali ni tete mkoa wote wa mwanza hadi sasa hawajajua hatima ya mishahara yao ya mwezi May wanaishi kwa madeni hatari sna
 
Hii ndio tabia isiyokubalika..ukipokea mshahara unaula wote kwa siku moja, ona sasa aibu unazopata...huku jf hatulipi mishahara..pole sana.vumilia
 
Back
Top Bottom