Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,005
- 9,872
Watumishi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wanatuhumiwa kujimilikisha maduka ya kituo kikuu cha mabasi cha Songea bila kuyatumia kwa lengo la kuwadalalia kwa pesa nyingi wanaoyahitaji kuyatumia hatua inayosababisha maduka hayo kufungwa na kituo hicho kushindwa kufanya kazi sawasawa.Hayo yamebainika baada ya Mkuu wa Wilaya ya Songea Bw. Pololet Mgema kufanya ziara kwenye kituo hicho na wananchi kulalamikia hatua hiyo inayoikosesha serikali mapato na kituo kudorola.
ITV