Watumishi Manispaa ya Songea watuhumiwa kujimilikisha maduka ya stendi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,940
2,000

ploi.jpg

Watumishi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wanatuhumiwa kujimilikisha maduka ya kituo kikuu cha mabasi cha Songea bila kuyatumia kwa lengo la kuwadalalia kwa pesa nyingi wanaoyahitaji kuyatumia hatua inayosababisha maduka hayo kufungwa na kituo hicho kushindwa kufanya kazi sawasawa.

Hayo yamebainika baada ya Mkuu wa Wilaya ya Songea Bw. Pololet Mgema kufanya ziara kwenye kituo hicho na wananchi kulalamikia hatua hiyo inayoikosesha serikali mapato na kituo kudorola.

ITV
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom