Watumishi Manispaa ya IRINGA walazimishwa kuwa na kadi za CCM kama kigezo cha kupandishwa madaraja ya kazi....

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,783
2,000
Wadau huku kwetu Iringa tunazidi kuvurugwa kila siku tokea aletwe huyu kada wa CCM kama RC wa Iringa..Ukiachilia mbali bendera za CCM zililizozagaa kwa wingi kwa sasa hapa mjini katika baadhi ya nyumba zilizo pembezoni mwa barabara kuu za mji ama kwa wenye nyumba hizo kupenda au kulazimishwa hapo sijui lakini jambo linalosikitisha kwa sasa ni huu unyanyasaji unaowakumba kwa sasa wana Iringa katika hali ile hali ya kuwalazimisha kukiunga mkuno chama tawala.

1. Katika ofisi za Manispaa wafanyakazi woote wa vitengo muhimu wameambiwa kuwa kama hawana kadi za CCM hawatapanda madaraja ya kazi au kupata "promotion" yoyote kazini
2. Kuna mikopo mbali mbali inayotolewa sasa kwa wajasiriamali hasa wanawake na vijana..Kigezo kimojwapo kilichowekwa ni kwamba kipaumbele ni kwa wale wenye kadi ya CCM.

Hapa kazi tu!
Kwani kuwa na kadi ya CCM ni dhambi?!
 

BABA LEA WATOTO

JF-Expert Member
May 6, 2017
322
1,000
acha uongo mm nipo hapa iringa napiga kazi na sina kadi ya chama chochote na naona watu wanapandishwa madaraja kila leo
Tukiwaambia mnatumwa mnajifanya kubisha!
Screenshot_2019-02-17-17-41-43.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
5,119
2,000
acha uongo mm nipo hapa iringa napiga kazi na sina kadi ya chama chochote na naona watu wanapandishwa madaraja kila leo
We kenge hujui hata kudanganya nani hakujui hapa jf kuwa wew ni kiroboto wa Lumumba?
 

kisikiji

JF-Expert Member
Feb 2, 2015
2,533
2,000
Hawjitambui hawa wanasahau ilimradi jioni ifike wahesabu buku saba wawaki mataptap.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom