nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,620
Jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alisema zoezi la uhakiki wa watumishi hewa limekamilika hivyo serikali yaanza kutoa ajira. Aliyasema hayo akiwa wanaongea na watumishi wa Ilala DSM kuwa watumishi waliopo ni halali na zoezi la kuwahakiki limeisha.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Tanzania