#COVID19 Watumishi 7 wa afya wapata Corona, idadi ya maambukizi yafikia 417

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wizara ya Afya imesema watumishi 7 wa sekta ya afya nchini humo wamethibitishwa kupata maambukizi ya COVID19

Waliopata Virusi hivyo ni manesi 3, madaktari 2, na wafanyakazi 2 wa ngazi ya juu. Kwa mujibu wa Wizara, wamelazwa Hospitali na wanaendelea vizuri

Wataalamu wapo katika maeneo mbalimbali ambapo watumishi wamekutwa na COVID19 kuchunguza kilichopelekea wapate maambukizi

Hadi sasa, Uganda imerekodi visa 417 vya Corona na waliopona wamefikia 72

1590982006479.png
 
M7 bado anahangaika na hivi vijimafua visivyo weza kuua hata kifaranga cha kuku?
 
Back
Top Bottom