Watumishi 4,380 walioondolewa kimakosa warejeshwa kazini

Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amesema Watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti vya Elimu na Watumishi hewa wamerejeshwa kazini.

Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Mikumi, Dennis Lazaro Londo aliyeuliza idadi ya Watumishi waliorejeshwa kazini baada ya kuondolewa kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti feki na Watumishi hewa.

Amesema, "Idadi hii inajumuisha Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa wapatao 3,114. Pia Serikali ilitoa msamaha wa kuwarejesha kazini walioondolewa kwa kukosa sifa za Kidato cha Nne ambao hawakudanganya au kughushi Vyeti".

Ina maana ni watumishi wote ambao hawakughushi vyeti wamerudishwa kazini?
 
Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amesema Watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti vya Elimu na Watumishi hewa wamerejeshwa kazini.

Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Mikumi, Dennis Lazaro Londo aliyeuliza idadi ya Watumishi waliorejeshwa kazini baada ya kuondolewa kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti feki na Watumishi hewa.

Amesema, "Idadi hii inajumuisha Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa wapatao 3,114. Pia Serikali ilitoa msamaha wa kuwarejesha kazini walioondolewa kwa kukosa sifa za Kidato cha Nne ambao hawakudanganya au kughushi Vyeti".

serikali ya wanyonge, "matajiri waishi kama mashetani" "hao mashetani si ndio maskini?"
 
Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amesema Watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti vya Elimu na Watumishi hewa wamerejeshwa kazini.

Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Mikumi, Dennis Lazaro Londo aliyeuliza idadi ya Watumishi waliorejeshwa kazini baada ya kuondolewa kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti feki na Watumishi hewa.

Amesema, "Idadi hii inajumuisha Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa wapatao 3,114. Pia Serikali ilitoa msamaha wa kuwarejesha kazini walioondolewa kwa kukosa sifa za Kidato cha Nne ambao hawakudanganya au kughushi Vyeti".

Mbona utekelezaji wake kama sikosei ulishafanyika tangia 2017?

Kwa nini issue iliyotekelezwa miaka mingi iliyopita ije kuongelewa sasa na kuonekana kama imefanyika mwaka huu, wanataka kumhadaa nani na kwa faida ya nani?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom