Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,506
2,000
Kati ya Huawei e5787s-33a na E5787ph-67a ipi inafaa kwa mitandao yetu maana ya kwanza ina frequency band aina nyingi(intra band continuation) ila sijaona features za MIMO na nyingine ina FDD700/1800/2100/2600 na MIMO
e5787s-33a naona ina specs zote, E5787ph-67a siielewi baadhi ya site sioni 800.
 
Zero Sumu

Member
Oct 19, 2019
73
150
Ni cha kuagizishia tu, nimejaribu ku google naona mtu mmoja aliwahi kuilist kwenye grop za fb basi, sehemu nyengine zote hakuna.

Sema pia Angalia bei ikizidi sana Angalia professional Router za WiFi 6.
Cat 6 zitaweza kuhimili heavy Gaming nikiwa na stream.!?...Nataka ku overcome changamoto ya server zilizokua mbali, speed ya 600mbps inaweza punguza makali ya ping kubwa zinazoleta input delay
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,506
2,000
Cat 6 zitaweza kuhimili heavy Gaming nikiwa na stream.!?...Nataka ku overcome changamoto ya server zilizokua mbali, speed ya 600mbps inaweza punguza makali ya ping kubwa zinazoleta input delay
Haitakusaidia Mkuu, Tafuta tu isp mzuri hasa Mtandao wa Voda. Hata kama itasaidia ni kidogo sana.

Unapata ping ngapi kwa USA Server?
 
Zero Sumu

Member
Oct 19, 2019
73
150
Haitakusaidia Mkuu, Tafuta tu isp mzuri hasa Mtandao wa Voda. Hata kama itasaidia ni kidogo sana.

Unapata ping ngapi kwa USA Server?
Mainly natumia SA servers napata 90-120ms, natumia Huawei Router ndogo na Best ni Voda... Sijafanya testing yoyote kwa CAT 6.

Fiber hainifai, kutokana na nature yangu sio kusettle sehem moja. Ndio maana nikaomba unipe experience kati ya hizo router mbili ipi itasaidia
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,506
2,000
Mainly natumia SA servers napata 90-120ms, natumia Huawei Router ndogo na Best ni Voda... Sijafanya testing yoyote kwa CAT 6.

Fiber hainifai, kutokana na nature yangu sio kusettle sehem moja. Ndio maana nikaomba unipe experience kati ya hizo router mbili ipi itasaidia
Kibongo bongo si ping mbaya kusema kweli.

Una simu nzuri? Jaribu kujipa internet na simu kupitia usb tethering uone kama utapata speed nzuri.

Pia hio router ya sasa Jaribu kuconnect na USB cable ama ethernet badala ya wifi inasaidia ms kadhaa
 
Zero Sumu

Member
Oct 19, 2019
73
150
Kibongo bongo si ping mbaya kusema kweli.

Una simu nzuri? Jaribu kujipa internet na simu kupitia usb tethering uone kama utapata speed nzuri.

Pia hio router ya sasa Jaribu kuconnect na USB cable ama ethernet badala ya wifi inasaidia ms kadhaa
Natumia Wired (tethering) Wifi inaleta same ping ila kunakua na speedup lags... Natumia simu ya 4G za kawaida sio advanced na results sio nzuri uki compare na router

Bado siamini hizi ping, coz sometimes Delay na sluggish ni kubwa kama 1000ms hasa daytime
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,506
2,000
Natumia Wired (tethering) Wifi inaleta same ping ila kunakua na speedup lags... Natumia simu ya 4G za kawaida sio advanced na results sio nzuri uki compare na router

Bado siamini hizi ping, coz sometimes Delay na sluggish ni kubwa kama 1000ms hasa daytime
Tatizo ndo hujui hizo delay ni za router ama voda wenyewe ama server huko.

Sio mbaya Mkuu uki invest kwa baadae, router ni muhimu kuwa nayo.
 
korokwincho

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
475
500

korokwincho

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
475
500

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,506
2,000
Hvi hzi oneplus zote ni flagships???

Naona bei zake zinakuwaga mkasi mnoo
Ndio ilivyokuwa ila siku hizi wametoa midrange na lowend Kuna oneplus mpaka za chini ya laki 3.

Sema siku advice kuzinunua nyingi ni vimeo hizo za bei rahisi.

Ceo wao ameondoka, siku hizi oneplus wamemezwa na Oppo hivyo Wana take advantage ya jina kuuza Cheap devices.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,506
2,000
Mbona samsung note 9 yangu sijaona hpo?? Au kwa kuwa inatumia exynos soc??
Kwa kipindi na andika hio comment note 9 ilikuwa ni simu ya bei ghali. Kama unanunua simu kwa ajili ya network speed nzuri flagship za 2017 zina make sense zaidi
1. Zinakaa na Chaji sana
2. Bei yake imeisha shuka
3. Zina Gigabit lte hivyo speed yake ni top kwa simu za 4g.

Pixel 2 mpaka Dola 60, xz1 compact nilinunua $80, essential phone most of time nayo ni chini ya Dola 100. Pamoja na gharama za usafiri inakusimamia 200,000 mpaka 250,000.

Kama una uwezo wa ku afford note 9, 10, 20 etc ni bora zaidi.
 
johsee

Senior Member
Nov 17, 2015
158
250

Attachments

 • Screenshot_20210810-051947_AliExpress.jpg
  File size
  29.3 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20210810-052004_AliExpress.jpg
  File size
  30 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20210810-052027_AliExpress.jpg
  File size
  26.9 KB
  Views
  0

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,506
2,000
Chief-Mkwawa kati ya hizi product ipi ni more suitable kwa mazingira ya kwetu maana aina uliyonishauri kabla nililipia then nikaambiwa mzigo umeisha na hupatikani store nyingine
View attachment 1886767 View attachment 1886768 View attachment 1886769
Zote mkuu ni nzuri nimeziangalia ni za kisasa na zina vigezo muhimu vyote.

Hio Alcatel ina Cat 12 (600mbps) Ina advantage kiasi fulani compare na Zte na Huawei Sema Alcatel si kampuni maarufu kwetu spea zinaweza kuwa issue.

Kama upo Tayari kurisk chukua hio Alcatel, otherwise Huawei na Zte zina make sense huku kwetu.
 
ngebo

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
1,579
2,000
Yes ni kweli boss, huduma ya zuku ni nzuri na ni bora kabisa kwa sasa, wateja wetu wengi wanaipenda mnoo, jamk

Mkuu karibu zuku fiber, changamoto tupo maeneo haya, masaki, msasani,kinondoni,upanga, kkoo na oysterbay. Internet ya uhakika na yenye kasi. Tuwasiliane.
Kinondoni kwa pinda hapa kanisani kabisa hananasif mmefika?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom