Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

CHIEF MKWAWA hii vipi mkuu
Screenshot_2021-06-17-11-35-22-752_com.android.chrome.jpg
 
-Band 3, 7, 20 na 40 Za Tanzania zipo zote ina maana kila mtandao utashika kwako kwa 4g
-lte Advance ipo 300mbps utapata tech zote za mitandao.

Kitu anbacho sijakiona kwenye specs ni mimo, iangalie vizuri, ila I hope ipo kwa specs hizi.
Yani hiyo ndo full description yake nimeiscreen shot sjaona hyo mimo je hyo mimo ni muhimu zaidi tuachane nayo hii?
 
Mkuu nime Google ni zile Antenna zinazotokea kwa nje kuongeza Signal.

Na dual band 3g ina maana ina band 2 za 3G sisi yetu ni hio 2100 hivyo itakamata 3g zote.

Lte pia inazo zote 3, 7, 20 na 40.

Lte Advance ipo.

Inachomiss ni Mimo hakuna.
Asante chief, hizo antenna zinaumuhimu sana ? Na hiyo mimo sijaona kwa almost mini mifi za Huawei na Zte sijui hawana hizo feature
 
Asante chief, hizo antenna zinaumuhimu sana ? Na hiyo mimo sijaona kwa almost mini mifi za Huawei na Zte sijui hawana hizo feature
Zipo ambazo zinazo just Google manual. Description ya Aliexpress si ya kuiamini sana.

Zina umuhimu incase unataka router Ipeleke mawimbi eneo Kubw.
 
Zipo ambazo zinazo just Google manual. Description ya Aliexpress si ya kuiamini sana.

Zina umuhimu incase unataka router Ipeleke mawimbi eneo Kubw.
Kati ya Huawei e5787s-33a na E5787ph-67a ipi inafaa kwa mitandao yetu maana ya kwanza ina frequency band aina nyingi(intra band continuation) ila sijaona features za MIMO na nyingine ina FDD700/1800/2100/2600 na MIMO
 
Zipo ambazo zinazo just Google manual. Description ya Aliexpress si ya kuiamini sana.

Zina umuhimu incase unataka router Ipeleke mawimbi eneo Kubw.
Mkuu wapi naweza napata hiki kifaa, Nimezunguka kkoo sijafanikiwa..Naona kina sifa zote Cat 11.
FB_IMG_16245222038619115.jpg
 
Hao jamaa wa Liquid Telecom wana fibre optic network accross Africa nzima.....From Cape Town to Cairo. Mojawapo ya makampuni yaliyochini ya bwana Strive Masiyiwa. Hapa Bongo waliinunua kampuni ya Raha.
Nlivoona neno "Liquid telecom" basi nikaanza kujiuliza mbna hii kampun kama naijua vile?? Mara nkaikumbuka "Econet" ila Dr.Strive masiyiwa alipambana sana kuanzisha hii campun. Yan alikuwa anapambana na mugabe sio kitoto.
 
tmp-cam-481568131.jpg

Kwa wale wapenda Spidi Kali za Internet
Raha imekuja na product ya Hai...
Hii ni kwa Maeneo ya Upanga, Oysterbay, Masaki na sea view tu. Fibre Network High speed and No Buffering.
Ur welcome 0686590089
 
Back
Top Bottom