Watumiaji Wa Jamii Forum Wapungua Kutokana Na Makali Ya Umeme! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watumiaji Wa Jamii Forum Wapungua Kutokana Na Makali Ya Umeme!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Jul 21, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Nimefanya tadhimini kwa muda sasa kuanzia makali ya umeme yanayoendelea nchini Tanzania, asilimia kubwa ya watumiaji wa Jamii Forum wamepungua kwa kiasi kikubwa kwa jinsi siku zinavyozidi kwenda na hii itarudisha watu nyuma kutoelimika kwa kupitia forum hii kutokana na janga hili la umeme nchini Tanzania na ukizingatia bei ya mafuta kuzidi kupanda kila kukicha. Nilikua nawasiliana na watu wa aina mbalimbali hata usiku wa manane lakini sasa hivi kila siku zinavyozidi kwenda wanaendelea kupungua! Tafadhali wanajanvi hembu tushirikiane kunusuru wanaGreaty thinker wasizidi kupotea kuhusiana na makali haya ya umeme, Mod tafadhali okoa hii mambo! Nawasilisha na pia nasikitika kutokuwasilina na jamaa zangu ambao tulikua nao hapa 24hrs.
   
Loading...