Watumiaji wa iPhone, simu zenu zina mlio mmoja tu?


kagombe

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Messages
3,018
Likes
1,057
Points
280
kagombe

kagombe

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2015
3,018 1,057 280
Habari za muda huu wakuu!

Nina swali naomba nisaidiwe na watumiaji wa iPhone hivi hizo simu zina ringtone moja tu ? Na kwa nini hampendi kuziweka mfukoni hasa kwenye mikusanyiko ya watu?

Ni Mimi mtumiaji tecno hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ya kwanza JF ulikua wanaume wa DAR. naona vita ya pili iPhone vs tecno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUTUO

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,479
Likes
1,322
Points
280
TUTUO

TUTUO

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,479 1,322 280
TAECOLTD

TAECOLTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Messages
999
Likes
1,505
Points
180
TAECOLTD

TAECOLTD

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2013
999 1,505 180
Unanunuaje simu ya gharama halafu huifurahii yani simu iko complicated sio user friendly kabisa, android hoyeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala iPhone sio complicated ila kama hujawahi kuitumia utaona ipo very complicated ila ukiizoea yaaan bonge la simu.. Sawa na mtu aliyezoea kutumia computer ya Windows 7, ukimuwekea windows 8 au 10 atashindwa kutumia maana ataona ipo complicated ila akiizoea anaifuraia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091