Watumiaji wa iPhone, simu zenu zina mlio mmoja tu?


pilato93

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
3,410
Likes
2,025
Points
280
pilato93

pilato93

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
3,410 2,025 280
Habari za muda huu wakuu!

Nina swali naomba nisaidiwe na watumiaji wa iPhone hivi hizo simu zina ringtone moja tu ? Na kwa nini hampendi kuziweka mfukoni hasa kwenye mikusanyiko ya watu?

Ni Mimi mtumiaji tecno hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
holy holm

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Messages
1,795
Likes
1,119
Points
280
holy holm

holy holm

JF-Expert Member
Joined May 6, 2017
1,795 1,119 280
hivi kwanini watumiaji wengi wa tecno ndio wanaoongoza kudiscuss issues za iPhone??
kuna shida gani hapo?
Inferiority complex ni kitu kibaya sana wallah

"Think different"
Tena watumiaji wa iPhone ndo wanadharau sana kwa watumia tecno
Hii vita sijui itaisha lini
 
Two dimension array

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Messages
1,240
Likes
1,492
Points
280
Two dimension array

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2018
1,240 1,492 280
jonas amos

jonas amos

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
1,586
Likes
1,112
Points
280
jonas amos

jonas amos

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
1,586 1,112 280
etkahigwa

etkahigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Messages
322
Likes
140
Points
60
etkahigwa

etkahigwa

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2014
322 140 60
Habari za muda huu wakuu!

Nina swali naomba nisaidiwe na watumiaji wa iPhone hivi hizo simu zina ringtone moja tu ? Na kwa nini hampendi kuziweka mfukoni hasa kwenye mikusanyiko ya watu?

Ni Mimi mtumiaji tecno hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu badilisha kwanza avatar yako then nitakupatia jibu sahihi la swali lako.
 
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,993
Likes
3,106
Points
280
Age
97
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,993 3,106 280
Pambana na hali yako mkuu hizo ni dalili za wivu kuanza kufuatilia miito ya simu za wanaume wenzio!
Ukimaliza kwenye simu utahamia kwenye mengine.
Tumia mda wako vizuri maisha yasonge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,251,672
Members 481,836
Posts 29,779,976