Watumiaji wa brezia,chupi za mitumba sio nzuri jionee..!!!

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
JAMANI BREZIA SIO NZURI HASA ZA MTUMBA HAYA NDIO MADHARA YAKE.

Ni hivi karibuni Serikali kupitia mamlaka zake zinazohusika na Maswala haya ya nguo za mitumba ilipiga marufuku huuzwaji wa Brazia,Nguo za Ndani za mitumba kuuzwa kwa wananchi kwa sababu zinaelezwa si salama kwa asilimia mia moja,na misako mbalimbali ilifanyika kwenye maeneo maarufu kwa kuuza aina hiyo ya Nguo lakini baadhi ya wananchi ama kwa kudharau matamko yanayotolewa na Serikali pamoja na wahuzaji waliendelea kufanya biashara hiyo kwa hiyo ni wito wetu kwenu mwambia Dada,Mpenzi wako,Shangazi,Rafiki yako na mtu yeyote yule kuwa Nguo hizi za Mtumba Brazia,Nguo za ndani hazifahi na haya ndio madhara yake ukipenda kuzitumia

Kama unazipenda na unaona kwako ni Bora Hakikisha kabla ujazivaa katika mwili wako Zifue vizuri tena ikiwezekana tumia maji ya moto na sabuni iliobora kwako kwa ajili ya kufulia.

Jiulize je?uko tayari kwa badae kuwa hivi

PIGA VITA UTUMIAJI HUU WA BREZIA,NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA SIO NZURI.

<tbody>
</tbody>
 
Una uhakika magonjwa hayo yamesababishwa na nguo za ndani mitumba? Mbona hujatoa evidence yoyote? Siyo coincidence kweli? Acha kuwa scaremonger!! Je mitumba ya shati au kofia nayo inaleta magonjwa gani?
 
Ebu yasome tena vizuri hayo maneno yako alafu nitakwambia kitu kazi ipo.......!!!Julio njoo uku ujionee!!!
 
Hii picha imenifanya ngozi yangu iote vipele vya baridi. OOOPS
 
Attachments

  • BRAZIA-Madhara1.jpeg
    BRAZIA-Madhara1.jpeg
    10.3 KB · Views: 492
Una uhakika magonjwa hayo yamesababishwa na nguo za ndani mitumba? Mbona hujatoa evidence yoyote? Siyo coincidence kweli? Acha kuwa scaremonger!! Je mitumba ya shati au kofia nayo inaleta magonjwa gani?

Mba! lol
Hata mimi sioni uhusiano wa hayo maradhi kwenye hizo picha na uvaaji wa sidiria za mitumba!
Ila picha zinatisha kwa kweli
 
Mbona umeishia kutuonesha madhara ya brazia Tu?
Weka na picha za athari ya uvaaji wa chupi za mitumba tuone pia!
 
Back
Top Bottom