NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,076
- 2,243
JAMANI BREZIA SIO NZURI HASA ZA MTUMBA HAYA NDIO MADHARA YAKE.
<tbody>
</tbody>
<tbody>
</tbody>
Una uhakika magonjwa hayo yamesababishwa na nguo za ndani mitumba? Mbona hujatoa evidence yoyote? Siyo coincidence kweli? Acha kuwa scaremonger!! Je mitumba ya shati au kofia nayo inaleta magonjwa gani?
Hii picha imenifanya ngozi yangu iote vipele vya baridi. OOOPS

Inatisha sana aisee,alafu mie mpenzi sana wa boxer za mtumba.
Mbona umeishia kutuonesha madhara ya brazia Tu?
Weka na picha za athari ya uvaaji wa chupi za mitumba tuone pia!
Yeeeuuuwiiii.... Sinunui tena bra za mtumba aisee ingawa ni nzuri!!!!!!
hahahahah pole sana,huyo atakuwa kashambuliwa na maggots.
Yaani titi limefanywa kama chujio.Mie nywele zote zimesimama....