Watumiaji wa brezia,chupi za mitumba sio nzuri jionee..!!!


NAPITA

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,077
Likes
196
Points
160
NAPITA

NAPITA

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,077 196 160
JAMANI BREZIA SIO NZURI HASA ZA MTUMBA HAYA NDIO MADHARA YAKE.


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ni hivi karibuni Serikali kupitia mamlaka zake zinazohusika na Maswala haya ya nguo za mitumba ilipiga marufuku huuzwaji wa Brazia,Nguo za Ndani za mitumba kuuzwa kwa wananchi kwa sababu zinaelezwa si salama kwa asilimia mia moja,na misako mbalimbali ilifanyika kwenye maeneo maarufu kwa kuuza aina hiyo ya Nguo lakini baadhi ya wananchi ama kwa kudharau matamko yanayotolewa na Serikali pamoja na wahuzaji waliendelea kufanya biashara hiyo kwa hiyo ni wito wetu kwenu mwambia Dada,Mpenzi wako,Shangazi,Rafiki yako na mtu yeyote yule kuwa Nguo hizi za Mtumba Brazia,Nguo za ndani hazifahi na haya ndio madhara yake ukipenda kuzitumia

Kama unazipenda na unaona kwako ni Bora Hakikisha kabla ujazivaa katika mwili wako Zifue vizuri tena ikiwezekana tumia maji ya moto na sabuni iliobora kwako kwa ajili ya kufulia.

Jiulize je?uko tayari kwa badae kuwa hivi

PIGA VITA UTUMIAJI HUU WA BREZIA,NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA SIO NZURI.
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Mawenzi

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
1,257
Likes
12
Points
0
Mawenzi

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
1,257 12 0
Una uhakika magonjwa hayo yamesababishwa na nguo za ndani mitumba? Mbona hujatoa evidence yoyote? Siyo coincidence kweli? Acha kuwa scaremonger!! Je mitumba ya shati au kofia nayo inaleta magonjwa gani?
 
NAPITA

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,077
Likes
196
Points
160
NAPITA

NAPITA

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,077 196 160
Una uhakika magonjwa hayo yamesababishwa na nguo za ndani mitumba? Mbona hujatoa evidence yoyote? Siyo coincidence kweli? Acha kuwa scaremonger!! Je mitumba ya shati au kofia nayo inaleta magonjwa gani?
Ebu yasome tena vizuri hayo maneno yako alafu nitakwambia kitu kazi ipo.......!!!Julio njoo uku ujionee!!!
 
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2013
Messages
15,844
Likes
5,767
Points
280
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2013
15,844 5,767 280
uwiiiii ngoja nikachome zile za kwangu maaana mhhhh!!!!!
 
mkuyati og

mkuyati og

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Messages
761
Likes
237
Points
60
mkuyati og

mkuyati og

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2011
761 237 60
naona hapo kuna picha za maggot infestation, na ca-breast... wapi na wapi?
 
Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
5,295
Likes
5,649
Points
280
Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
5,295 5,649 280
Inatisha sana aisee,alafu mie mpenzi sana wa boxer za mtumba.
 
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,153
Likes
1,594
Points
280
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,153 1,594 280
Yeeeuuuwiiii.... Sinunui tena bra za mtumba aisee ingawa ni nzuri!!!!!!
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Likes
405
Points
180
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 405 180
Mwili wote umenisisimka dah!
 
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
61
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 61 145
Una uhakika magonjwa hayo yamesababishwa na nguo za ndani mitumba? Mbona hujatoa evidence yoyote? Siyo coincidence kweli? Acha kuwa scaremonger!! Je mitumba ya shati au kofia nayo inaleta magonjwa gani?
Mba! lol
Hata mimi sioni uhusiano wa hayo maradhi kwenye hizo picha na uvaaji wa sidiria za mitumba!
Ila picha zinatisha kwa kweli
 
ze jackal

ze jackal

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2013
Messages
531
Likes
16
Points
0
ze jackal

ze jackal

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2013
531 16 0
Mbona umeishia kutuonesha madhara ya brazia Tu?
Weka na picha za athari ya uvaaji wa chupi za mitumba tuone pia!
 
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
11,566
Likes
117
Points
160
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
11,566 117 160
Yeeeuuuwiiii.... Sinunui tena bra za mtumba aisee ingawa ni nzuri!!!!!!
Nunua ila hakikisha kabla hujazivaa ziwe zimefuliwa vizuri na maji ya moto na sabuni. Ni vizuri zaidi kama utatumia sabuni ambazo ni medicated
 

Forum statistics

Threads 1,250,638
Members 481,436
Posts 29,740,126