Watukanaji CCM ni kama wamekula nyama ya mtu, walianza na mzee Lowassa na sasa wanashindwa kuacha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,816
141,716
Ukiwaangalia kwa makini wanaccm wanaolumbana sasa kwa kejeli na kutafuta kiki ni wale wale waliokuwa wanamtusi na kumkejeli mzee Lowassa.

Hawa wazee wawili na vijana wao akina Nape, Kibajaji, January, Musukuma na yule mzanzibar wa uvccm walimkejeli na kumtusi sana mzee Lowassa sema tu Lowassa ana upako wa nabii TB Joshua.

Nyerere alisema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha ndio haya yanayowakuta hawa wenzetu.......Bashiru hata upige mkwara vipi kwa hawa jamaa unatwanga maji kwenye kinu!
 
Katibu Mkuu amewaonya wale wanaojifanya Makada sana kujifanya kujirekodi Clips na kuzipenyeza kwa Katibu awaone jinsi walivyoguswa

CC

Ally Hapi

Kibajaji

Msukuma

N.k

Wangejiuliza Governor mwenye ‘Baba yake’ mbona kapiga kimya?

Mwenye Baba akae Kimya Baba yake kama katukanwa kweli?
 
Ukiwaangalia kwa makini wanaccm wanaolumbana sasa kwa kejeli na kutafuta kiki ni wale wale waliokuwa wanamtusi na kumkejeli mzee Lowassa.

Hawa wazee wawili na vijana wao akina Nape, Kibajaji, January, Musukuma na yule mzanzibar wa uvccm walimkejeli na kumtusi sana mzee Lowassa sema tu Lowassa ana upako wa nabii TB Joshua.

Nyerere alisema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha ndio haya yanayowakuta hawa wenzetu.......Bashiru hata upige mkwara vipi kwa hawa jamaa unatwanga maji kwenye kinu!
Bashiru mwenyewe in doing so kageuka kuwa mtukanaji, perhaps anaogopa kesho yake maana uongozi wa juu wote wa ccm na wa serikali wanadaiwa damu za akina Lissu, Akwilina, Alphonce Mawazo, Azory Gwanda, Ben Saanane, Christopher Kanguye na maelfu wengine
 
Back
Top Bottom