Watuhumiwa wanne wa ujambazi wauawa Kondoa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Watu wanne wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi wameuawa na wananchi katika kijiji cha Kinyasi wilayani kondoa mkoani Dodoma baada ya kuvamia kituo cha mafuta katika kijiji hicho na kupora zaidi ya shilingi milioni kumi.

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi mwandamizi wa polisi Gilles Muroto amesema kufuatia tukio hilo jeshi la polisi limeendesha msako mkali ambapo mpaka sasa gari aina ya noah T 607 DHC iliyokuwa inatumika kufanya uhalifu huo tayari imekamatwa na msako wa kuwakamata waliokimbia unaendelea.
 
Milioni kumi ni hela ya mboga, sasa huyo wa hela ya mboga mbona hajakamatwa mpaka leo mnakimbilia kuua badala ya kuwapeleka mahakamani
 
Milioni kumi ni hela ya mboga, sasa huyo wa hela ya mboga mbona hajakamatwa mpaka leo mnakimbilia kuua badala ya kuwapeleka mahakamani

Bila shaka una m refer Mama Panua alipopewa wizara ya ardhi alisema "sina tamaa ya fedha kwakuwa fedha ya mboga ninayo".

Lilipokuja sakata la escrow akakumbwa na sekeseke, mwishoni akasema "unapozidi kupanua wenzako wanazidi kutamani" ukiunganisha kauli yake ya kwanza na kauli ya ...panua... unapata jibu
 
Mwingine akasema bunge liweke mashine za kuangalia sehemu za siri za wabunge wa kiume ili tuwaone wenye magovi, ccm wanawaza ngono tu
 
Back
Top Bottom