Watuhumiwa wa ujambazi wapora silaha na kuua polisi wawili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watuhumiwa wa ujambazi wapora silaha na kuua polisi wawili.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Mar 16, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hii imetoke huko kahama katika kituo kimoja cha polisi baada ya watuhumiwa wa ujambazi kumpora polisi silaha na kuuwa askari wawili kituon. Chanzo Tbc habari.
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Safi sana wazee wa intellejensia wafe tu.... wanapenda kuuwa "wapganaji" wa kweli go to hell... Wanatumia nguvu kuliko akili
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Bad news, lakini wakati mwingine ni uzembe na kufanya kazi kwa mazoea...mara nyingi hawa askari uwa wanawachukilia wafungwa kwa urahisi sana...
   
 4. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,786
  Likes Received: 6,115
  Trophy Points: 280
  These kinds of statements are the ones I hate most. Huwezi kushabikia na kufurahia mauaji kwa kuwa tu waliouwawa ni polisi! No! huwezi kuhalalisha hili kwa sababu yoyote ile ndugu yangu tena ukizingatia walioua ni majambazi. Kumbuka ujambazi hauna macho; yaweza kuwa wewe au mtu mwingine muda wowote. Siamini kwamba polisi ni wabaya kiasi hicho hata kama kwa baadhi ya nyakati wameshindwa kutekeleza wajibu wao ipasavyo na kwa haki. Hebu fikiria nchi isingekuwa na jeshi la polisi ingekuwaje?

  Polisi mliokufa, RIP.
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  RIP

  Polisi waichukue hii kama wake up call
   
 6. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi polisi wamekuwa wakijisahau sana wanapokuwa maeneo ya lindo na ndio maana wakati mwingine wamekuwa wakitekwa. Tukio la kahama liwe changamoto kwao.
   
 7. P

  Popompo JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  punguza roho mbaya!
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wewe watetee,but polis wetu dust,kwan unaic nch ingekuaje?acha uwoga,mara ngap polic wakiua raia hushanglia na kupandshana vyeo?mara ngap wanaua raia?mara ngap wanawanyanyasa raia,yaache yafe.cwaamin na cwagend
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,963
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  How true mr Dudus, ni upunguani kushangilia a social misfit.
  Ngojea wamuingilie huyu POMPO nyumbani kwake au ndugu zake ndo ataelewa the gravity of the matter.
  RIP that hardworking nameless cop.
   
Loading...